Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache waitwe tu watueleze vile vimondo vya uvira na ule moshi wa ruangwa toka ZWANI na lupungu ......... Wanamuhujumu sana ...sana raisi wangu ...... Waaadhibiwe napeHabari zilizotufikia hivu punde zinasema kamati ya ccm inayoendelea na vikao vyake jijini Mwanza inasema imewaita Benard Membe,Yusufu Makamba na Abdulahman Kinana kufika Mwanza mara moja kujielezaView attachment 1291287View attachment 1291288View attachment 1291289
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zilizotufikia hivu punde zinasema kamati ya ccm inayoendelea na vikao vyake jijini Mwanza inasema imewaita Benard Membe,Yusufu Makamba na Abdulahman Kinana kufika Mwanza mara moja kujielezaView attachment 1291287View attachment 1291288View attachment 1291289
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri nao unamtupa mkono. 2025 atakuwa mkongwe, hebu tazama umri wa marais wakati wanaingia madarakaniMembe papara zake zimemponza angetulia 2025 njia ilikuwa nyeupe kupitishwa na CCM urais
Sent using Jamii Forums mobile app
Wishes za Jiwe zinakuwa translated kama Maamuzi ya Halmashauri kuu ya Chama.Halmashauri kuu ya CCM imewatahadharisha wabunge watatu machachari Nape, January na Ngeleja kuwa watavuliwa uanachama endapo hawatajirekebisha baada ya kupata msamaha kutoka kwa Mwenyekiti Dr Magufuli na chama kwa ujumla.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kama Definition ya Wananchi ni wewe,Mumeo na wanenu then you are rightWananchi wanaipenda CCM hilo halina mjadala!
sasa hivi Chama kinafuata matakwa ya mwenyekiti, Zidumu fikra za MwenyekitiSasa chama ndio kimerudi kwa wanachama kutoka kwa mafisadi!
Nape na January wamekuwa 'foreigner' kwenye chama walichokipigania kwa jasho na damu.!
kweli kila zama na kitabu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujipendekeza Mkuu. Hapo ni mtu mmoja tu ndiye anaetafutwa hao wengine ni wasindikizaji tu. Na huyo anaetafutwa ni wajibu wake kupima kina cha maji. Vinginevyo akijaribu kuvuka tu ndiyo itakuwa mwisho wake.CCM siyo ukoo wa kambale kama Chadema....... Hao wameitwa kwa mujibu wa katiba ya CCM!
Ndio heshima lazima ndio maana kondoo hutumiwa kama mfano wa watu wema kwenye Bible na mbuzi kawa wewe hutumiwa na wauwaji ,wezi ,washerati na waabudu sanamuNi kweli, wanatakiwa wabaki makondoo wa Magu tu.
Pamoja na Simba ya Dr Tulia!
Hata mke wa RAS wa Songwe bi Jesca ni mwananchi bwashee!Kama Definition ya Wananchi ni wewe,Mumeo na wanenu then you are right
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Na wewe ni Mke wa nani ?Hata mke wa RAS wa Songwe bi Jesca ni mwananchi bwashee!
Hiyo nyumba haina tofauti na makao makuu ya Chadema pale Ufipa!Wananchi wenyewe kama ndiyo hawa hakuna tabuView attachment 1291600View attachment 1291601View attachment 1291602
Sent using Jamii Forums mobile app