johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mimi ni mwananchi!Na wewe ni Mke wa nani ?
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwananchi!Na wewe ni Mke wa nani ?
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Halmashauri kuu ya CCM imewatahadharisha wabunge watatu machachari Nape, January na Ngeleja kuwa watavuliwa uanachama endapo hawatajirekebisha baada ya kupata msamaha kutoka kwa Mwenyekiti Dr Magufuli na chama kwa ujumla.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Yeye ni mbeba maono ndio maana Mbowe amekimbilia Mwanza kujisalimisha!Wishes za Jiwe zinakuwa translated kama Maamuzi ya Halmashauri kuu ya Chama.
Kimsingi kwa Sasa chama kiko Mfukoni mwa Meko na Dola
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Nguvu ya mamba iko kwenye maji chedi!
Hii siyo CCM ya JK.........usisahau hilo bwashee!Hivyo ni vitisho tu. Kosa kubwa kwa ccm kwa hawa jamaa ni pale watakapoonyesha kuendelea kuwa na mahusiano ya karibu na Mh BM. Makosa mengine ni vipeperushi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halmashauri kuu ya CCM imewatahadharisha wabunge watatu machachari Nape, January na Ngeleja kuwa watavuliwa uanachama endapo hawatajirekebisha baada ya kupata msamaha kutoka kwa Mwenyekiti Dr Magufuli na chama kwa ujumla.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hakika bwashee........ CCM ina mali zenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 900 na mapato ya zaidi ya sh bilioni 59 kila mwaka!
Mbowe mtoto wa MjiniYeye ni mbeba maono ndio maana Mbowe amekimbilia Mwanza kujisalimisha!
Mke wa wananchi una Maana ?Mimi ni mwananchi!
Mji wa machame?!Mbowe mtoto wa Mjini
Mnashindwa hata kuelewa kuwa alienda pale kumu expose Meko
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Hapana mme wa mama bramo!Mke wa wananchi una Maana ?
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Ndio heshima lazima ndio maana kondoo hutumiwa kama mfano wa watu wema kwenye Bible na mbuzi kawa wewe hutumiwa na wauwaji ,wezi ,washerati na waabudu sanamu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanyang'anywa MASHAMBA yao.Sasa kufukuza wastaafu kutasadia nini Chama wangekuwa vijana wangeomba msamaha lakini ukistaafu hakuna kitu cha kukutisha
Baba Bramo lazima atakuwa anakuchapa naoHapana mme wa mama bramo!
Si unaona unavyomtaja tajaMji wa machame?!
Watanyang'anywa MASHAMBA yao.
Ukiona chama kikongwe cha siasa wakimpongeza Kiongozi wao anaesigina Katiba ya chama kwa makusudi ujue hapo kuna tatizo. CCM makini haipo tena kimebaki chama cha kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu vinginevyo kamati ile maarufu itafanya kazi yake ya TENGUA TEUA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hakuna haja ya kuwazodoa na kuwasakamaChama cha siasa kama kanisa au msikiti, kila mtu anakaribishwa