Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

@ohnthebaptist,

Hiyo ya CCM sio kamati ya maadili bali ni kamati ya kufundisha wanachama wa CCM ukondoo, na ajenda yao ni kumuadhibu yoyote asiyemsujudia mwenyekiti.
 
Waache waitwe tu watueleze vile vimondo vya uvira na ule moshi wa ruangwa toka ZWANI na lupungu ......... Wanamuhujumu sana ...sana raisi wangu ...... Waaadhibiwe nape

bo na ndo maana walimuwahi nyaulingo
 
Ccm haina mvuto. yaani Uzi umekosa wachangiaji
Kweli mmekichoka chama tawala
 
Namshauri Meko akubaliane na ushauri wa kurudi bush kupumzika maana dalili ni za kupigwa chini ndani ya chama ni 100% kwani hao wanao mpamba kina Pinda ni asilimia ndogo na wanalinda maslahi yao.
Uchaguzi wa kweli akipata hata 30% ashukuru Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wishes za Jiwe zinakuwa translated kama Maamuzi ya Halmashauri kuu ya Chama.
Kimsingi kwa Sasa chama kiko Mfukoni mwa Meko na Dola

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Bora ccm wangemsikiliza mama yake jpm!alisema mwanangu hafai na wala hawezi ni mkali sana ana matatizo ya hasira kali hana usawaziko!!!!NGOJA TUONE
 
CCM siyo ukoo wa kambale kama Chadema....... Hao wameitwa kwa mujibu wa katiba ya CCM!
Acha kujipendekeza Mkuu. Hapo ni mtu mmoja tu ndiye anaetafutwa hao wengine ni wasindikizaji tu. Na huyo anaetafutwa ni wajibu wake kupima kina cha maji. Vinginevyo akijaribu kuvuka tu ndiyo itakuwa mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo ni vitisho tu. Kosa kubwa kwa ccm kwa hawa jamaa ni pale watakapoonyesha kuendelea kuwa na mahusiano ya karibu na Mh BM. Makosa mengine ni vipeperushi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…