Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Mikwara ya kichaa cha dogi iyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wishes za Jiwe zinakuwa translated kama Maamuzi ya Halmashauri kuu ya Chama.
Kimsingi kwa Sasa chama kiko Mfukoni mwa Meko na Dola

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Yeye ni mbeba maono ndio maana Mbowe amekimbilia Mwanza kujisalimisha!
 
idawa,

Sasa kufukuza wastaafu kutasadia nini Chama wangekuwa vijana wangeomba msamaha lakini ukistaafu hakuna kitu cha kukutisha
 
Maendeleo hayana chama. Ila Chama kina maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ni mbeba maono ndio maana Mbowe amekimbilia Mwanza kujisalimisha!
Mbowe mtoto wa Mjini
Mnashindwa hata kuelewa kuwa alienda pale kumu expose Meko


Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Sasa kufukuza wastaafu kutasadia nini Chama wangekuwa vijana wangeomba msamaha lakini ukistaafu hakuna kitu cha kukutisha
Watanyang'anywa MASHAMBA yao.
Ukiona chama kikongwe cha siasa wakimpongeza Kiongozi wao anaesigina Katiba ya chama kwa makusudi ujue hapo kuna tatizo. CCM makini haipo tena kimebaki chama cha kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu vinginevyo kamati ile maarufu itafanya kazi yake ya TENGUA TEUA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hawa matajiri wanashida gani na mashamba kwa umri huu wakati wana ma account mpaka nje!
 
Chama kimehamia kanda ya ziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…