Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Nidhamu ya chama inarejea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chini ya ulinzi mkali, chezea CCM weyeKwa Kinana utaona ni uchwara lakini hao wawili wako njiani wanaelekea Mwanza.
Ndiye yeye. Ile sheria ya kuwataka wafanyakazi wa umma kutojihusisha na siasa ilikuwa kiini macho tu.Huyo Zelothe Stephen aliyependekezwa kugombea uenyekiti Arusha si aliwahi kuwa kamanda wa Polisi au majina yanafanana!?
Kwani Pascal Mayala na Prof Assad waliijibu nini kamati ya bunge?!
Kwenye comment yangu nimetaja ACTAhaha Ccm sio kama Chadema Mkuu
Subiri utaona
Anafukuzwa uanachama!Bernad Membe sio rahisi kwenda na hatafanywa kitu na yoyote
Majaji, Makamanda wa majeshi yote asilimia 90 ni wanakadi za CCM, hiyo ndio maana ya chama dola.Hivi hiyo Zelothe Stephen amejiunga lini na chama cha mapinduzi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe halina shukurani. Kabisa!! Kinana kuhojiwa!! Wapi na wapi. Where n where
Kwenye comment yangu nimetaja ACT
Hao Chadema wametokea wapi ?