Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Hao wote na hivyo vyeo vyao wakiwa nje ya CCM hawana tofauti na Mmachinga tu na wala hawana uwezo wa kufanya lolote lile.

Ila wakiwa ndani ya CCM vyeo vyao ndio vinaweza kuwasaidia kujimwambafai.

Tujiulize hawa wazee wastaafu nje ya CCM kwanini pamoja na vitisho vya awamu ya 5 hawakujitokeza kuomba 'msamaha' ni nini kinawafanya kujiamini hivi wakati wastaafu kama Edward Lowassa, Fredrick Sumaye n.k wameamua kurudi 'nyumbani'.

Je kuna CCM "mtandao' iliyo nje ya hii ya awamu ya 5 na inataka pia ipo tayari kwa mapambano na hawa CCM 'wakuja'.
 
Hapo hamna hata kujiuliza mkuu,hao wote ni bure nje ya CCM.

Yaani hao wote uliowataja ukiwajumlisha kwa pamoja hawafikii nguvu za Lowassa enzi zake akiwa anatisha lkn ametulizwa tuli na kuunga mkono juhudi sembuse hao.

Hebu mkuu niambie Kinana,Makamba,Membe wana influence gani hata kwa wananchi wa kawaida?
 
Sept 5, 2015

Kinana akifungua kampeni za kumnadi Magufuli Sept 2015

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulraham Kinana leo amemnadi mgombea urais kwa tiketi ya ccm John Pombe magufuli akimuelezea kuwa ni mtu asiyeshindwa na ambaye hana urafiki na mtu.

September15, 2015

Kinana akihutubia Tabora, Kampeni 2015 kumnadi Magufuli

Sept 6, 2015

Kampeni za CCM 2015 Mzee Makamba akinukuu maneno toka Isaya 5 na Yeremia, mengine anaweka akiba

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ,Mzee Yusuph Makamba akihutubia wananchi katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro, Mzee Makamba atoboa siri za Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.... jinsi viongozi walijigawia mali za serikali kama ardhi, ranchi na vingine anaweka akiba.....

Juni 5, 2015

Mh. Bernard Membe, viwanja vya CCM mjini Lindi Kampeni za Urais. Membe nimejipima nafaa kuwa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania . Membe asema hana magunia ya pesa kununua wajumbe wa NEC wala Ikulu......

October 18, 2019

Chama cha ACT-Wazalendo imetangaza rasmi kuwa kama Waziri wa Mambo ya Nje wa zamanı, Bernard Membe atakuwa tayari kujiunga na chama chao, milango ipo wazi, ili aje aungane na magwiji wengine waliokuwa nao katika chama hiyo.
 
Rais Magufuli aliyasema haya mwaka 2016 wakati akikabidhiwa uenyekiti wa chama kuhusu kukomesha usaliti ndani ya chama

Unabii Wake Umetumia Vyema Kabisa.
Kwasasa Makamba Ni Nabii Kamili.
Ila sikumbuki Kama alisema,
JPM atawabatiza kwa Moto au
JPM atatubatiza kwa Moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alidai JAKAYA alikuwa anawabatiza WAPINZANI KWA MAJI. Ila JPM atawabatiza kwa MOTO. Alishangiliwa sana siku ile. Alikuwa hajui kama JPM ni kama MTEGO WA PANYA. Badala ya kusaidia KUUTEGUA, akawa anajiona YEYE HAUMUHUSU. Leo hii, kanaswa mwenyewe!
 
Mzee wetu Yusuph Makamba,almaarufu nabii wa ubatizo wa moto,amenasa kwenye tanuru la unabii wake.

Hana namna ya kujinasua,bali anatakiwa kuonja kikombe hicho ambacho kwa hakika kiko mbele yake.

Je akitoka kunywa kikombe cha moto atakuwa kabadilika?
Mshindi shindano la mswahili ajalipwa,halafu wanataka kuanzisha lingine.Tuendelee kulima bamia Mbutu huku tukisuburi urithi wa ardhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaetafutiwa tyming ni mmoja tu hao wengine ni wasindikizaji. Hapo si mwingine bali "Niguse Ninuke" Makamba ni Mzee wa Kiswahili huyo anataka kumuuza/kuwauza mwenzie/wenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Suala lenyewe bado sana, hata waliosema haya bado wapo Mwanza, wakirudi, tukiitwa mtajua, nimesikia kama wewe,…lakini wito huwa haukataliwi, waswahili wanasema akuitae kajaza, ukichelewa atapunguza, hivyo sitachelewa," Yusuf Makamba baada ya kuitwa Halmashauri Kuu ya CCM.
 
Back
Top Bottom