MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Wazee wa CCM walikuwa wanadhalilishwa na Musiba mpo kimya, Sasa walipoandika barua yao ya kufikisha malalamiko wakabadilishiwa kibao na kuonekana wazee wastaafu ndiyo Wana makosa, tunaomba mtuambie baada ya kuwaita mmechukua hatua gani? tunataka kujua pia Musiba amechukuliwa hatua gani kwa kuidhalilisha CCM na viongozi wake?