MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Nani atathubutu kuwaandikia barua?, Kwa kosa lipi?, musiba anatanua tuHivi wameshahojiwa?
Aaaah wapi!!Hivi wameshahojiwa?
Hata Musiba anatakiwa kuhojiwa na kuadhibiwaKule juu walikiuka kanuni ,wale sasa si viongozi ni wastahafu,kwa hiyo walitakiwa kuitwa na kuojiwa huko katani na wala siyo taifa ,walichemka.
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅Tatizo ni KINANA & MEMBE. Hawa wanajua siri za JIKONI namna yalivyopikwa matokeo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Halafu wanadhalilishwa na mtu anayejiita mwanaharakati Musiba, hapa wa kuadhibiwa ni musibaWanajeshi vyeo vya juu kabisa wanahojiwa na ccm,hao ilitakiwa bunge,..ukigusa huku kanali,hapa luteni makamba,ukichungulia nyuma yao kuna jasus nguli MEMBE.hahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano hata kama hiyo ina madhara gani mkuu?Tatizo ni KINANA & MEMBE. Hawa wanajua siri za JIKONI namna yalivyopikwa matokeo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Membe nje ya ccm ni mwepesi kama karatasi! Tofauti na chadema ambako mtu anakuwa na nguvu kuliko chamaWanajeshi vyeo vya juu kabisa wanahojiwa na ccm,hao ilitakiwa bunge,..ukigusa huku kanali,hapa luteni makamba,ukichungulia nyuma yao kuna jasus nguli MEMBE.hahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia ccm hatufanyi kazi kwa mitulingaWazee wa CCM walikuwa wanadhalilishwa na Musiba mpo kimya, Sasa walipoandika barua yao ya kufikisha malalamiko wakabadilishiwa kibao na kuonekana wazee wastaafu ndiyo Wana makosa, tunaomba mtuambie baada ya kuwaita mmechukua hatua gani? tunataka kujua pia Musiba amechukuliwa hatua gani kwa kuidhalilisha CCM na viongozi wake?
Mwambie Musiba atulie wakati mnapanga jinsi ya kumuadhibuTulia ccm hatufanyi kazi kwa mitulinga
Mbona mnamuogopa MusibaMembe nje ya ccm ni mwepesi kama karatasi! Tofauti na chadema ambako mtu anakuwa na nguvu kuliko chama
Sent using Jamii Forums mobile app
🤔🤔Aliye msafi ndani ya ccm ndio pekes atakuwa na uthubutu wa kuwaita na kuwaweka kitimoto.. Lakini ni lazima awe MSAFI
Jr[emoji769]