Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Ni mwisilam sema huwa anapenda sana kutumia bibliia
Hivi sio muislamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana hata mwanane January Makamba huwa anatembea na Rozal na vifaa vyote vya kikatoliki

Kwa madai ya January Rozal hizo alizitoa Vatican kwa papa john Paul wa 2 na aliambiwa akifaa kavaa Rozal ataenda kufurah na malaika moja kwa moja huko juu Mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Yusuph Makamba amezoeleka kwa nukuu zake za kwenye Biblia takatifu kila awapo kwenye tukio muhimu.

Sitashangaa kumuona mzee Yusuph au Joseph kama anavyoitwa na wazungu akitimba na Biblia katika kikao cha kamati ya maadili kinachomsubiri. Na sitaona ajabu atakoposhuka na mistari ya kibiblia itakayoonyesha katika wajumbe wale wa kamati ya maadili hakuna hata mmoja mwenye " HAKI" ya kustahili kumnyooshea kidole yeye mzee Makamba.

Kuna wakati mwokozi wetu Yesu aliwakuta wayahudi waliokuwa wanajiandaa kumuua kwa kumpiga mawe mwanamke mzinifu, Yesu akawauliza je ni yupi kati yenu ambaye hajawahi kutenda dhambi?.......wakakimbia wote na kumwachia yule mwanamke UHAI wake.

Binafsi nampongeza sana Rais Magufuli kwa kuwasamehe wale waliotubu kwa kuwa hawakujua ( kiroho) walilokuwa wanalitenda.

Niwatakie Sabato njema.

Maendeleo hayana vyama!
Hao wazee wakikubali kwenda kwenye wito huo wa "KAMATI YA UHASAMA NA MADILI" nitawaona hawana maana,yaani 50+ bado unaendeshwa na siasa za chama mfu? KWani wasipoenda kuna nini kitatokea? MGUSE KINUKE.
 
Hao wazee wakikubali kwenda kwenye wito huo wa "KAMATI YA UHASAMA NA MADILI" nitawaona hawana maana,yaani 50+ bado unaendeshwa na siasa za chama mfu? KWani wasipoenda kuna nini kitatokea? MGUSE KINUKE.
Uungwana na vitendo.......CCM ina taratibu zake zinazoheshimika tofauti na kwenye vyama vingine!
 
Hao wazee wakikubali kwenda kwenye wito huo wa "KAMATI YA UHASAMA NA MADILI" nitawaona hawana maana,yaani 50+ bado unaendeshwa na siasa za chama mfu? KWani wasipoenda kuna nini kitatokea? MGUSE KINUKE.
We haujui Siasa ndio maana unaongea hivyo, so kaa kimya, they have a lot to lose than you think!!
 
Hapo ndiyo itapendeza Sana, atapewa ubatizo wa Moto huku ameshika bibilia
 
Nenda huko kamatini, ukajibu hoja. Sio mitandaoni, kuleta vioja. Mwenye hekima habwabwaji, huongea panapostahili.

Kitendo chako kujinadi mitandaoni kuwa unaitwa na kamati ya maadili, na kitendo cha kutunisha misuli kuwa utaishinda kamati kwa hoja, ni dhihirisho la ukosefu wa maadili uliyokua nao Membe.

Sishangai, huenda wewe ni mmoja wa viongozi ambao watoto wao walitakabari sana pindi walipokua madarakani.

Wengi walitunisha misuli, kuonea raia huku wakisema"Unanijua Mimi Nani?". Ushenzi uloje huu??

Tamaduni hizo hatarishi bado unazo. Nawe unaivimbia kamati ya maadili "Mnanijua Mimi nani?".

Utachemka sana. Wakati huu CCM ni chama chenye maadili ya hali ya juu. Hata mawaziri wa CCM wamekua watu wa kawaida mtaani.

Membe ulizoea kubebwa na JK mpaka watu wakakuita Waziri mzigo. Magufuli sio mbebaji wa mizigo isiyobebeka.

Atakunyoosha tu utakaa sawa kama viburi wengine kina Nape na Ngeleja.

Siku zote "mfa maji naishi kutapatapa," Membe nenda kajibu tuhuma zako kwa pilato!!!.
 
Yaani unamtishia Mwanaume mwenzako?

Kwani hiyo kamati wamekuwa Miungu, nao si Watu tu kama binaadamu wengine?
 
Back
Top Bottom