Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameoa mkristo!
Maana hata mwanane January Makamba huwa anatembea na Rozal na vifaa vyote vya kikatoliki
Hao wazee wakikubali kwenda kwenye wito huo wa "KAMATI YA UHASAMA NA MADILI" nitawaona hawana maana,yaani 50+ bado unaendeshwa na siasa za chama mfu? KWani wasipoenda kuna nini kitatokea? MGUSE KINUKE.Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Yusuph Makamba amezoeleka kwa nukuu zake za kwenye Biblia takatifu kila awapo kwenye tukio muhimu.
Sitashangaa kumuona mzee Yusuph au Joseph kama anavyoitwa na wazungu akitimba na Biblia katika kikao cha kamati ya maadili kinachomsubiri. Na sitaona ajabu atakoposhuka na mistari ya kibiblia itakayoonyesha katika wajumbe wale wa kamati ya maadili hakuna hata mmoja mwenye " HAKI" ya kustahili kumnyooshea kidole yeye mzee Makamba.
Kuna wakati mwokozi wetu Yesu aliwakuta wayahudi waliokuwa wanajiandaa kumuua kwa kumpiga mawe mwanamke mzinifu, Yesu akawauliza je ni yupi kati yenu ambaye hajawahi kutenda dhambi?.......wakakimbia wote na kumwachia yule mwanamke UHAI wake.
Binafsi nampongeza sana Rais Magufuli kwa kuwasamehe wale waliotubu kwa kuwa hawakujua ( kiroho) walilokuwa wanalitenda.
Niwatakie Sabato njema.
Maendeleo hayana vyama!
NI kweli kabisa,sasa were uvunje sheria za kuingilia mawasiliano binafsi ya MTU ,halafu umtake aje umhoji alichoxungumza.hivi kunamtu ambaye huwa hasemwi,makatibu wakuu wastaafu waheshimiwa sio kuwadhalilishaMembe ni bora asiende maana wanaweza kumkolimba
Uungwana na vitendo.......CCM ina taratibu zake zinazoheshimika tofauti na kwenye vyama vingine!Hao wazee wakikubali kwenda kwenye wito huo wa "KAMATI YA UHASAMA NA MADILI" nitawaona hawana maana,yaani 50+ bado unaendeshwa na siasa za chama mfu? KWani wasipoenda kuna nini kitatokea? MGUSE KINUKE.
Unajuaje kama hajaokoka?!!
We haujui Siasa ndio maana unaongea hivyo, so kaa kimya, they have a lot to lose than you think!!Hao wazee wakikubali kwenda kwenye wito huo wa "KAMATI YA UHASAMA NA MADILI" nitawaona hawana maana,yaani 50+ bado unaendeshwa na siasa za chama mfu? KWani wasipoenda kuna nini kitatokea? MGUSE KINUKE.
Huyo amezoea pale Ufipa!We haujui Siasa ndio maana unaongea hivyo, so kaa kimya, they have a lot to lose than you think!!
Hahahaaaa.......... ngoja tuone!Hapo ndiyo itapendeza Sana, atapewa ubatizo wa Moto huku ameshika bibilia