Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kuonyesha kuwa familia hiyo ni mdebwedo!Kuna watu wana roho ngumu aisee! Hivi Makamba Jr unafurahiaje wewe kusamehewa wakati baba yako anaenda kubatizwa?
Mojawapo ya vitu ambavyo Magufuli anavilazimisha kufanyika sasa hivi ni kuwa asiwepo mtu ambaye "hagusiki" ama iwe kwa sababu ya cheo chake, hadhi yake au historia yake. Ila ukishatengeneza mazingira ya namna hii hata huko mbeleni watu wengine nao watakuja kuitwa vile vile bila kujali hadhi, cheo au historia waliyowahi kuwa nayo.
Kila siku huwa nasema. Hakuna watu wabovu kutawala nchi yetu kama hawa Chadema na wapiga debe wake. Wewe unataka kutuambia kuwa mwanznchi anayesaidia kiongozi kupata nafasi basi hata kama akikosea basi ''asikikosewe heshima'' kwa kuulizwa. Unadhani kuwa kumsaidia kiongozi wakati wa kampeni basi ni tiketi ya kutoguswa kwa chochote utakachofanya. Upinzani Tanzania ni wabovu mara kumi kuliuko CCM. Ndiyo maana yale yale wanayopigia kelele huwa wanayafanya tena kuliko hata CCM. Uenyekiti wa vyama hawataki kuachia fedha wanatumia hovyo kwa kukodi ndege!Wazee waliompeleka Magufuli Ikulu?
Magufuli kawakosea heshima wazee.
Huyo Zelothe Stephen aliyependekezwa kugombea uenyekiti Arusha si aliwahi kuwa kamanda wa Polisi au majina yanafanana!?
Tena ni wajeda walio kamilika, wasiyumbishwe na raia hao wa CCM, mmefanya mengi kupigania nchi hii mpaka tukawa hapa tulipo wapotezeeni.Nyie makanali wa Jeshi na watumishi wa CCM, hamuwezi kudhalilishwa namna hii na nyie mkaenda kupiga magoti.
january, ngeleja na nape wamefanya kosa moja na wazee. wao wamefutiwa wenzao wameitwa kwenye kikao. akili za mwenyekiti wa CCM zinashida mahali fulani, dishi limecheza kidogo. nawaza tuWatafuatia January, Nape na Ngereja!
Ohh.....sorry kumbe wamesamehewa.........CCM ni chama kikubwa sana!
Maafande wastaafu wanaipenda sana CCM nakumbuka Kamishna mkuu mstaafu wa Magereza awamu ya mzee Mwinyi ndugu yetu Jumanne Mangala alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani!
Dah!! Ngoja tuendelee kusubiria maana kimyahata mimi pia
Inawezekana wewe dish ndio limecheza, umeshaambiwa maamuzi ya kikao cha halmashauri kuu ya chama, sasa mwenyekiti unamuongelea vibaya as if alijifungia pekee yake na akatoa maamuzijanuary, ngeleja na nape wamefanya kosa moja na wazee. wao wamefutiwa wenzao wameitwa kwenye kikao. akili za mwenyekiti wa CCM zinashida mahali fulani, dishi limecheza kidogo. nawaza tu
Hiwezi kuweka keshi ambayo ushahidi wako ni kerekodi lakini mrekodi mwenyewe ni wa siri na hataki kujulikana!. Sasa je tuna ushahidi gani kwamba rekodi hizo kuna maneno ambayo yamefutwa makusudi, je tunajuaje kama warekodi walikuwa hawana nia zao binafsi. Kama una mrekodi mtu masaa 24 kila siku huwezi kukosa maneno ya kuunganisha au kuchagua sentensi fulani tu kupendezesha story yako. Hivyo kwa washitaki wa kinana, Makamba, na Membe wajiandae kueleza nani amerekodi simu
zao na watoe ushahidi kwamba hakuna maneno yamefutwa. Bila hivyo mtu yeyote anaweza kubambikizwa kesi.