Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

Uamuzi ni wao ya kwamba wampigie magoti shetani au waingie ibadanì kulitukuza jina la Mungu.
 
Wasipoenda.
Wataambiwa siyo raia mfano Kanali Kinana aliwahi kupata misukosuko ya kuambiwa siyo raia miaka ya 90.

Wataambiwa hawalipi kodi kwenye biashara zao,watafunguliwa kesi za uhujumu uchumi,kumbuka Kanali Kinana meli yake iliwahi kusafirisha meno ya tembo

Wataambiwa walitumia madaraka yao vibaya walipokuwa madarakani mfano Jasusi Membe na fedha za kanali Gadafi.
Wataambiwa nyumba zao wamejenga kwenye hifadhi ya barabara au karibu na chanzo cha maji hata Kama nyumba zao zipo km 100 hadi kwenye chanzo Cha maji.

Sababu za kuwaadabisha zipo nyingi Afrika watawala ni Miungu watu wakitaka uwe masikini ndani ya dakika moja

unakuwa hata Kama ni bilionea Kama MO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?

Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wewe hutaki hawa wazee waende mbinguni!
 
Kwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.

Chadema je?
 
Mimi nawashauri waende kuhojiwa kwa sababu nahisi wasipoenda inaweza kutafsiriwa kwamba wamedharau chama chao kitu ambacho kinaweza kuwaletea matatizo makubwa ikiwa ni pamoja na kufukua makaburi yanayowahusu.
 
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?

Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makamba has one thing to lose - the political position of his son. Remember after submitting their complaints letter to the retired speaker, Makamba's son was immediately terminated from the office as minister. So if he shows any kind of arrogance of not responding to the calling.. He will truly know who the chairman is. For the political future of February, let big-ropes respond positively to the party's demand.
 
Retired, Historia inatufundisha ya kuwa, ukitishia maslahi ya nafasi ya Mwenyekiti Taifa ama Ile ya chama tawala, kuna "risk" kubwa ktk hatma ya maisha yako. Rejea kisa marehemu Horrace Kolimba, kwa hiyo hawa walioitwa wanapaswa kujizatiti kweli kweli.

Kwa kuwa "set ups and arrangements" ya mfano; viti watakavyo pangiwa kuvikalia, vinasa sauti, vitasa vya milango watakavyo wajibika kuvifungua, na hata wale watu ambao kiustaarabu watapaswa kusalimiana nao kwa kushikana mikono. Chochote kile watakachokigusa, kula ama kunywa kinaweza kuwa silaha ya maangamizi kwa aliyekuwa, hasa Mh. Membe anapaswa kutumia mbinu zake zote za kijasusi kuuruka mtego huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe hakuna mwenye ubavu wa kumhoji ndani wala nje ya chama. Wanatapatapa bure. Membe ni level nyingine kabisa. KACHERO
Kachero yupo juu ya siasa za vyama? inavyoonekana loyalty ya kachero ipo kwa nchi, siyo chama cha siasa
 
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?

Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watapoteza tu damu ya kijani jambo ambalo litakuwa ni blessing in disguise maana damu ya binadamu itawarudia pamoja na akili zao za kutambua mema na mabaya.
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?

Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Retired, Kinana akirudi anaweza akashtakiwa kwa kumiliki uraia pacha kinyume na sheria. Makamba Senior sawa huyo haijalishi. Kwa Membe itakuwa vigumu kujitoa CCM, kwani jamaa anaupenda umaarufu ile kishenzi. Mda wote yuko katika ku speculet afanye nini ili apate umaarufu na hasa wa kuwa President wa Tanzania. Hajakata tamaa bado nina uhakika. Ana fight kichini chini.

Katika ulimwengu huu sijaona mtu mwenye uwezo mdogo wa kifikra na kukosa mvuto au uwaluwatan kama Membe, kutaka mambo makubwa kama yeye.

Kuongea na watu hawezi, kuwashawishi watu vile vile hawezi ni mwongo na ndumi la kuwili juu. Halafu bado anajiona kama yeye ni mtu wa maana sana.

Membe alikuwa ni Zero kilicho msaadia na kumpa umaarufu kwanza ni ukaribu wake na Rais Kikwete, pesa za Umma na misaada aliyo kuwa akiiba. Vinginevyo hana mvuto kabisa kabisa wa kuwa kiongozi. Yaani Membe yuko baridi kabisa. Afadhali hata Tundu Lissu, kama asinge fanya vitendo vyake vya kusaliti nchi na kumtukana Rais angekuwa candidate mzuri sana wa kugombea Urais. Nasikitika kwa ujinga wake wa kuto kuwajua binadam vizuri walivyo amejiharibia mwenyewe.

Lissu alifikiri kujua sheria peke yake ndio amefika. Hakujua kuwa mbali na kujua sheria binadam anatakiwa pia awe na phylosophy ya kuwajua binadam pia na science kidogo. Nina msikitikia sana.

Vinginevyo ni shujaa ma mpambanaji mzuri kama Magufuli, ila Magufu amemzidi Lissu ki maarifa mapana ya ki science na upendo wa kweli kwa bidam wenzake. Sijamwona mtanzania ambaye anawapenda watanzania wenzake kama huyu jamaa. Hata Nyerere hakuwapenda watanzania wenzake kama Magufuli.

Nina uhakika Rais Magufuli akimaliza hii mihula yake miwili na akifanikiwa ku accomplish visions zake vizuri, watanzan wa kuanzia 2025 hawata mzungumzia Nyerere tena. Wimbo utakuwa wa Bulldozer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alizingua tu yule mzee mwenye kadi ya chama namba 6 sijui 7
Unafahamu fitna zilipoanza mara ubungo akaporwa tender ya kukusanya ushuru huku na huku mara presha akakata moto

Yule mwimbaji alipotaka kuhama na nyimbo bank zikaibuka kudai mapesa mengi ya mkopo mara paaaaap presha akakata moto mazima

Huyu mwingine ndugu wa jk nasikia Yale mahotel kama naf hotel ni zake usishangae Ikataifishwa kwamba jamaa aliiba pesa akiwa wadhir mambo ya USA urus Sweden Kenya na nchi zote za Nje

Braza kuhusu ki na na
Meno ya tembo anakashfa nayo sana sijui ataponaje

Huyu Mzeeeee yusuph baba was yesu
Yeye anamwangalia zaid wa Jina junior wake la sivyo uwiii kitanuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.
Hapo jamaa nje ya CCM ni kama samaki nje ya maji...hata biashara zao kwa walijituyumua na kuanzisha biashara nazo zinalindwa na CCM....#shigongoalipwehakiyake
 
Afadhali hata Tundu Lissu, kama asinge fanya vitendo vyake vya kusaliti nchi na kumtukana Rais angekuwa candidate mzuri sana wa kugombea Urais. Nasikitika kwa ujinga wake wa kuto kuwajua binadam vizuri walivyo amejiharibia mwenyewe.
Usalit upi? Alimtukana tusi gani? be objective with evidence! vinginevyo utawekwa kwenye kundi la watu wa hovyo ever!
 
Kwakweli sioni chochote ambacho Kinana, Makamba na Membe watapoteza wakiamua kutokwenda huko Kamati ya Maadili, zaidi wao ndio watakuwa wamepata faida sana kwa kuachana na CCM..
CCM ni kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU.
usimsahau na baba yako ni ccm
 
Nyerere alisema CCM siyo mama yangu! Mkiamua kuwa na ujasiri wa Nyerere mkatamka hivyo na mkafukuzwa (ingawa Nyerere hakufukuzwa) uanachama, mtapoteza nini la maana katika Dunia hii? What significant loss do you stand to suffer in these few remaining years of life on earth?
Lipi linawajengea heshima kati ya kuitwa kama mbwa na kufukuzwa kishujaa?

Twende kanisani na msikitini tusali, ya dunia na CCM tuwaachie Bashiru, Polepole na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wataenda kuhojiwa na watasamehewa. Hii ni drama in real life.
 
Back
Top Bottom