DOKEZO Halmashauri Mbeya imetuuzia maeneo yenye Mwekezaji anayehatarisha afya zetu kwa kutumia baruti

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mim nilichagua kwenye mfumo kabda sijalipia nikaenda kuangalia duuh hapana viwanja hivyo nikaacha vinachangamoto ndio maana hadi leo havijaisha kununuliwa
 
Ni balaaa
 
Vina changamoto gani kiongozi, kwani nami nimeshawishika kupata kimoja nisije nikaingia mkenge
 
Back
Top Bottom