Ulipofuatilia ni kwa nini dokezo haijalipwa, umegundua sababu?Copy ya dokezo ya malipo ninayo ila mpaka sasa sijalipwa.
Kweli Mkuu, nikama nimeliwa kichwa Mana Nami nahis hivyo ndo napambana kulipa Hilo Deni kwa sasa ila nimekuwa disappointed Sana.Sasa Mkuu, aliyekushtaki wewe ni nani? Maana kwa muktadha huo anayetakiwa kulalamika ni Mkurugenzi wako.
Kama Mkurugenzi alikuruhusu, muambie akutengenezee barua kukuidhinisha uwalipe hao walinzi.
Mpaka sasa ilipofikia, umewahi kukutanishwa na Mkurugenzi atoe maelezo kama alikuidhinisha?
Kama bado, ndugu tambua ya kuwa Mkurugenzi amekutema. Na kitakachokuokoa ni kulipa hela za serikali.
Wameshindwa kulipa ni kwa sabb fedha hiyo ilitumika miaka 2 iloyopita ni Kama wanashindwa kulipa Deni la nyuma.Ulipofuatilia ni kwa nini dokezo haijalipwa, umegundua sababu?
Nilisha kabidhi poss sikusanyi fedha hizo Tena kwa sasa Niko masomoni, ila ndo nasumbuliwa nilipe.Kusanya pesa ya serikali na kudeposit kwenye account husika ,matumizi kulingana na budget yatraendelea baada ya vibali kutoka kwa wahusika short of that nvua kaka
Kitaaluma yeye ni mhasibu? Kama jibu hapana mkurugenzi aende mahakamani wakakutane hukoAcha uhuni, ulikusanya mil na laki tano. Ni fedha za serikali huwa zinaingia kwenye akaunti ya serikali. Kama zilitumika wewe unahusika vipi? Kuna viashiria ulikuwa unatoa control namba lakini hutoi risiti za serikali. Kaa mkao wa kupigwa mvua.
Sasa Mkuu, aliyekushtaki wewe ni nani? Maana kwa muktadha huo anayetakiwa kulalamika ni Mkurugenzi wako.
Kama Mkurugenzi alikuruhusu, muambie akutengenezee barua kukuidhinisha uwalipe hao walinzi.
Mpaka sasa ilipofikia, umewahi kukutanishwa na Mkurugenzi atoe maelezo kama alikuidhinisha?
Kama bado, ndugu tambua ya kuwa Mkurugenzi amekutema. Na kitakachokuokoa ni kulipa hela za serikali.
Ujue kutoa fedha za serikali Kuna kua na mlolongo hivi sasa inaweza tokea dharula weekend labda mtumish wa serikali kapata msiba na inahitajika fedha kumsafirisha mfiwa labda laki 9 sasa ndo unakuta wanalazimika kuchua fedha ambayo haija benkiwa na kuitumia ambapo kwa mujibu wa waziri Ummy ni kosa kutumia fedha mbichi za serikaliAlaf hawa wakurugenzi izo pesa sijui uwa wanazitumia ivo kwa maana ya upigaji au sijui ni nini kinakua kinaendelea.. maana niliwah kuona na huku nilipo.. hali kama hiyo iliyomtokea jamaaa
Ni utaratibu uliokuwepo kabla , yanii unawalipa walinzi baadae unakuja kurudishiwa fedha uliolipa Kisha una benk kufuta Deni.Hayo mamlaka ulitoa wapi...
Hiyo ni kaz ambayo Ina malipo yake nje ya salary na Mimi binafsi nilikua nalipwa kwa namna hiyo na nilikua nastahili kulipwa kwa kazi hiyo.Huyu alikubali kufanya malipo hayo yeye kwakua kulikua na mwanya wa yeye pia kupata hela kdg hapo, namshauri alipe hiyo hela kufuta hiyo hoja kisha mambo mengine apambane kiofisi