DOKEZO Responded Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi baadhi ya Maafisa wanazungusha Watu ilimradi tu 'ueleweke'

DOKEZO Responded Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi baadhi ya Maafisa wanazungusha Watu ilimradi tu 'ueleweke'

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Unapeleka transfer pale Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi umenunua ardhi tuseme ili wakupe form Namba 33 ya transfer apart kuwa umelipia malipo ya Serikali under control number wanakuzungusha hata three-month ili mradi tu uwape hela ya kuwapoza.

Kwa mwendo huu Rushwa itaisha Tanzania kweli au basi siyo kuisha, itapungua kweli?

Ufafanuzi wa Serikali:
~
Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Mwanza yachukua hatua kuboresha Huduma Za Ardhi Ilemela
~ RC Mtanda: Idara ya Ardhi Ilemela hakuna nidhamu, mikataba ya muda isitishwe
~ RC Mtanda: Lipeni fidia kwanza kabla ya kuchukua ardhi ya Mwananchi
 
Back
Top Bottom