Halmashauri ya jiji la Arusha yaandaa maandamano makubwa ya michezo April 26, 2018

Hii nchi ya ajabu maandamano ya michez yanaruhusiwa ila ya kudai haki hapana !!
 
Maandamano hayo yakiwa ya uwanjani ni sawa ila kama yatakua ya mitaani ni uhaini wa kiwango cha juu maana unaweza leta uvunjifu wa amani.
 
nimecheka sana, naona mimi nitaunga umoumo siku ya maandamano
 
Kama kibali kitatolewa hamna shida wananchi watajua waelekee wapi ?
 
Basi waandamanaji watakuwa wengi
 
Wameshaona bunduki na mabomu haitoshi kuzuia maandamano pendwa ya wananchi, yetu yako palepale.
 
Mange hana uwezo wa kuhamasisha maandamano ni uoga tu.
 
Nashauri kuwa na vikundi vya magaidi sio maandamano
 
Ugaidi ni bora zaidi mfano ukimuona polisi unamkata panga la kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…