Halmashauri ya jiji la Arusha yaandaa maandamano makubwa ya michezo April 26, 2018

Halmashauri ya jiji la Arusha yaandaa maandamano makubwa ya michezo April 26, 2018

Hii nchi ya ajabu maandamano ya michez yanaruhusiwa ila ya kudai haki hapana !!
 
Screenshot_2018-04-05-16-22-13.png
View attachment 735260
 
Maandamano hayo yakiwa ya uwanjani ni sawa ila kama yatakua ya mitaani ni uhaini wa kiwango cha juu maana unaweza leta uvunjifu wa amani.
 
nimecheka sana, naona mimi nitaunga umoumo siku ya maandamano
 
Kama kibali kitatolewa hamna shida wananchi watajua waelekee wapi ?
 
Wameshaona bunduki na mabomu haitoshi kuzuia maandamano pendwa ya wananchi, yetu yako palepale.
 
Nashauri kuwa na vikundi vya magaidi sio maandamano
 
Ugaidi ni bora zaidi mfano ukimuona polisi unamkata panga la kichwa
 
Back
Top Bottom