Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]duh huku mange huku serekali tunakutana katikati alafu tunawageukia police ndo tunawatandika alafu wananchi tunarudi makwetu
Dhamira ya Xnakamilisha dhamira ya Y.Haya wana Arusha, nafasi hiyo ya kuandamana..
Fursa.Sana Arusha mpewe nini tena? nafasi hiyo
Mnatuharibia kiswahili, ni WanaArusha siyo Harusha.....mnafundishwa upumbavu shuleni siku hiz eeeh !!Wana harusha sasa mungu awape nini macmuga
Hahahaha,[https://www]
[https://ripoti]
Arusha yaanda maandamano ya michezo April 26
THURSDAY , 5TH APR , 2018
NA GERALD KITALIMA
Halmashauri ya jiji la Arusha imeandaa maandamano makubwa ya michezo ambayo yatafanyika siku ya sherehe ya maadhimisho muungano April 26, 2018 jijini Arusha
[https://www]
Afisa michezo wa jiji la Arusha, Benson Maneno amethibitisha hilo na kusema kuwa maandamano hayo yatafanyika asubuhi kuelekea katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume ambapo ndipo zitafanyika fainali za michuano ya Muungano Cup na kumpata mshindi wa michuano hiyo, ambapo mshindi wa kwanza atapata milioni mbili, mshindi wa pili milioni moja na mshindi wa tatu laki tano.
"Mashindano hayo ambayo yameanzishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa jiji la Arusha akishilikiana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Dakalo wameanzisha mashindano haya maalum kwa kata zote 25 ambapo watashirikisha vijana wenye umri chini ya miaka 26, hivyo kila kata itacheza na kata nyingine ili kupata mshindi wa michuano hiyo. Fainali hizo zitafanyika jioni lakini asubuhi ya tarehe 26 kutakuwa na maandamano makubwa ya wana michezo kuelekea uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume kwa ajili ya kufanya fainali hiyo ya Muungano CUP" alisema Benson Maneno
wana Harusha ..kill ur selfMnatuharibia kiswahili, ni WanaArusha siyo Harusha.....mnafundishwa upumbavu shuleni siku hiz eeeh !!
tutaona mengi awamu hiiSaport kubwa sana kwa Mange Kimambi, huyo jamaa amejua namna ya kuyaunga mkono maandamano ya Mange kimambi. Sawa nasubiri