A
Anonymous
Guest
Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa kidogo.
Wakati Halmashauri zingne zimeshalipa posho ya kujikimu ya Mwaka 2025 na hawa wapya wa Mwaka 2026 pia wameshapewa, sasa shida ya Kahama sijui hata ni nini
Wakati Halmashauri zingne zimeshalipa posho ya kujikimu ya Mwaka 2025 na hawa wapya wa Mwaka 2026 pia wameshapewa, sasa shida ya Kahama sijui hata ni nini