Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.

Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris.

Marejeo na maboresho ya mkataba huu yatafanyika kila baada ya miaka 5 ili kuendana na mahitaji ya wakati huo.
 

Attachments

Halmashauri ya Longido imeipa
IMG_2465.jpeg
IMG_2464.jpeg
IMG_2463.jpeg
IMG_2462.jpeg
familia ya akina Rostam mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon offset Kwa miaka 15 kwa malipo ya Tsh 10m Kwa kila pori kwa mwaka.

Hii hela hapa Arusha haupati hata kiwanja cha Mita 15x10.
 
Back
Top Bottom