The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwani saizi inavyoyamiliki inanufaikaje? 51% ya Tzn ni mapori ni wewe tuu chagua pori uwekeze.Mbali na mil. 10 itakayolipwa kwa kila pori, halmashauri ya Longido itanufaikaje tena?
Tena waje Waarabu wanalipa.hela nzuri kuliko Hawa kina Rostam.
Upumbavu wa kijinga ndio huu ambao Lisu aliwapiga porojo waarabu wamenunua mapori