A
naomba jina la barabara hio ya mtaroHalmashauri ya Mji wa Makambako, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika?
Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji.
Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea Itebetala.
Naomba Halmashauri ya Makambako iangalie suala hili mapema kabla ya mvua kuanza, kwani mfereji ukiwa umejaa unaweza kusababisha maji kushindwa kupita na kuleta usumbufu kwa wakazi pamoja na watumiaji wa barabara.
Tafadhali hatua zichukuliwe kabla ya kipindi cha mvua, si kusubiri mpaka maji yaanze kuleta madhara.
View attachment 3660742
Si majuzi tu mmesema ni mji wenye sifa za kimataifa wenye uwekezaji wa kutishaHalmashauri ya Mji wa Makambako, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika?
Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji.
Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea Itebetala.
Naomba Halmashauri ya Makambako iangalie suala hili mapema kabla ya mvua kuanza, kwani mfereji ukiwa umejaa unaweza kusababisha maji kushindwa kupita na kuleta usumbufu kwa wakazi pamoja na watumiaji wa barabara.
Tafadhali hatua zichukuliwe kabla ya kipindi cha mvua, si kusubiri mpaka maji yaanze kuleta madhara.
View attachment 3660742
Ukipewa kesho uje na picha inayoonyesha pamezibuliwanaomba jina la barabara hio ya mtaro
Unaweza ona mtu anakuja mbele yako amekaza meno ukadhani ana smile kukuona kumbe mwenzako amebana meno ni maumivu ya upepo na baridiIla Makambako lana vumbi jamani daah na ule upepo wa baridi🙌🏾🙌🏾