Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

Yaani 2000 tu una lalamika , wakati waweza kukuta hiyo 2000 unatumia kufanyia Mambo ya hovyo tu,

Yaani kutoa 2000 ili ukomboe maisha yako ya dhiki unashindwa, Unataka kusema haufahamu kuwa maisha ni Vita na kupigania opportunity sindio, !? Mjomba labda nikukumbushe this is Africa Kama hautaki kutoa hiyo 2000 acha ubaki na njaa zako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ni tip haikupaswa kuwa lazima. Tena inatakiwa utoe mwenyewe au uombwe baada ya huduma ili hata kama huna huduma upate
Anyway, basi toa suluhisho.

Maana malalamiko huwa hayatatui Jambo.

WEO kakataa kupitishwa barua yako UNAFANYAJE??
 
Atakua bado..hajui kuna hela ya muhuri...

#MaendeleoHayanaChama
Hela ya muhuri? Ipo kisheria?

Nyie ndo mnasababisha rushwa ishamiri nchi hii pasipo sababu.

Hakuna kitu kinachoitwa hela ya muhuri bali ni wao tu wanajipangia. Mimi tangu nianze kupata huduma kuanzia kwa mjumbe wa nyumba kumi,mtendaji wa mtaa hadi wa kata sijawahi kutozwa hiyo hela ya muhuri.

Kwa maana haipo kisheria ndo maana wakigundua una uelewa wa mambo hawakwambii utoe bali wanakusainia nakugonga muhuri unaendelea na mambo mengine.
 
Unataka kusemaje?
WEO/VEO Mara nyingi hupokea chochote kwaajili ya barua na mihuri.

Mwisho wa siku, binadamu huwa tunabebana tu, maana unaweza wewe mwenyewe huna SIFA au una mapungufu.
 
Yaani 2000 tu una lalamika , wakati waweza kukuta hiyo 2000 unatumia kufanyia Mambo ya hovyo tu,

Yaani kutoa 2000 ili ukomboe maisha yako ya dhiki unashindwa, Unataka kusema haufahamu kuwa maisha ni Vita na kupigania opportunity sindio, !? Mjomba labda nikukumbushe this is Africa Kama hautaki kutoa hiyo 2000 acha ubaki na njaa zako
Tatizo sio udogo au ukubwa wa 2000. Tunapiga vita rushwa
 
Mabadiliko hayawezi kufanywa na mimi peke yangu
Na mabadiliko siyo lazima yawe vile unavyotaka wewe.

Sana, badala ya kumpa WEO hiyo 2,000 au 1,000 Halmashauri zitagundua kumbe Mhuri wa WEO ni chanzo Cha mapato.

Zitatunga sheria ya kila barua Tsh 5,000 na kuwakabidhi POS za risiti maWEO.

Na hivyo ndivyo itakavyokuwa.

Hakuna Halmashauri huwa zinaacha pesa kizembe.
 
Na nyie jifunzeni kuheshimu muda wa watu.

Hivi unafikiri kazi ya WEO Ni kukaa tu ofisini kusubiri watu walete barua zao ugonge mihuri?

Watu kama nyie ningekiwa Mimi, Wala hata nisingepitisha barua yako.
Wewe ni ngumbaru maana unataka kuhalalisha haramu iwe halali.

Unampotezeaje muda wakati ndo moja ya majukumu yake? Kwani kabla ya kusaini mkataba wa kazi si alisoma job description na akaridhika anachotakiwa kukifanya?

So kugonga muhuri ni moja ya majukumu yake ambayo kimsingi ndo yanamlipa mshahara.
 
Ikiwepo kihalali sio mbaya
 
Bila shaka wewe utakuwa mjumbe wa nyumba kumi ama VEO maana sio kwa kutetea ujinga kama huo.
 
Wewe ni ngumbaru maana unataka kuhalalisha haramu iwe halali.

Unampotezeaje muda wakati ndo moja ya majukumu yake? Kwani kabla ya kusaini mkataba wa kazi si alisoma job description na akaridhika anachotakiwa kukifanya?

So kugonga muhuri ni moja ya majukumu yake ambayo kimsingi ndo yanamlipa mshahara.
Anyway, Sina muda wa kubishana.

Bishana mpaka unye maana una bando.
 
ivi hujawahi pata huduma serikali za mitaa ee kabla, au hata kwa mjumbe
kwa mjumbe tu kwenyewe kuweka sahihi yake inabidi uache 1000

documentation yoyote ile inayohitaji notarization ya serikali ndogo (ya mtaa) siyo bure
Kwa mujibu wa sheria ipi ama mwongozo upi? Usitake kuleta mazoea yako yawe sheria kwa wengine.

Hizo kazi ukiamua kuzifanya ni kwamba umekubaliana na miongozo na taratibu zote.
 
Mmeambiwa mmepeleke huko lakini hshaurutishwi kumpitishia barua mtu yeyote.

Maana yake, unapitishq baraua kwake ili kuthibitisha kama kweli wewe Ni mkazi wa kata hiyo.

Sasa akisema hakujui kama Ni mkazi wa kata hiyo unafanyaje ?
Hao wengine anakuwa anawajuaje hadi asimjue huyo mmoja tu?

Hadi unaenda ofisi ya kata maana yake ni kwamba umepitia kwa mjumbe wa nyumba kumi na serikali ya mtaa pia hao ndo wanakutambulisha kwamba wewe ni mkazi wa eneo hilo.

Sasa mjumbe anayewafahamu wakazi wake wote akupitishe kwa barua then mtendaji wa kata aseme hakutambui kama ni mkazi wa kata yake?
 
Mfano, Wenyeviti serikali za Mitaa hawana mishahara.

Hivi anadhani wanafaidikaje ?
Wanalipwa posho na halmashauri kwa kazi hiyo. Hilo hulijui?

Halafu waliombaje kazi hizo kama wanajua haina mshahara.
 
Ikiwepo kihalali sio mbaya

Hao wengine anakuwa anawajuaje hadi asimjue huyo mmoja tu?

Hadi unaenda ofisi ya kata maana yake ni kwamba umepitia kwa mjumbe wa nyumba kumi na serikali ya mtaa pia hao ndo wanakutambulisha kwamba wewe ni mkazi wa eneo hilo.

Sasa mjumbe anayewafahamu wakazi wake wote akupitishe kwa barua then mtendaji wa kata aseme hakutambui kama ni mkazi wa kata yake?
Kubishana kila MBUGIRA anaweza.

Sema, akikataa UTAFANYAJE ?

Toa suluhisho
 
Hivi mfano, unauza Kiwanja au nyumba yako, shuhuda wa kwanza mwenyekiti serikali ya mtaa.

Je, utalipa au Ni sehemu ya majukumu yake ?
Kuuza na kununua mashamba ama nyumba kuna asilimia inakatwa kwa mnunuzi na muuzaji inaenda serikalini sio mifukoni mwa VEO,WEO wala mwenyekiti wa mtaa.

Hilo nimelifanya sana kwakuwa nimeuza na kununua viwanja.
 
Back
Top Bottom