Unataka kusemaje?Umeshawahi kufanya kazi na Watendaji Kata na Vijiji hata siku moja?
Anyway, basi toa suluhisho.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ni tip haikupaswa kuwa lazima. Tena inatakiwa utoe mwenyewe au uombwe baada ya huduma ili hata kama huna huduma upate
Mabadiliko hayawezi kufanywa na mimi peke yanguAnyway, basi toa suluhisho.
Maana malalamiko huwa hayatatui Jambo.
WEO kakataa kupitishwa barua yako UNAFANYAJE??
Hela ya muhuri? Ipo kisheria?Atakua bado..hajui kuna hela ya muhuri...
#MaendeleoHayanaChama
WEO/VEO Mara nyingi hupokea chochote kwaajili ya barua na mihuri.Unataka kusemaje?
[emoji28][emoji38][emoji23] mkuu haya bana.Wewe ni umbumbumbu unakusumbua.Kwani viongozi wa Serikali walipoagizwa kuwa wale kutokana na urefu wa kamba zao hukuona tangazo?
Hukusikia walipoambiwa kuwa wajipimie?Huko kwenu hakuna TBC Taifa?[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2128645
Tatizo sio udogo au ukubwa wa 2000. Tunapiga vita rushwaYaani 2000 tu una lalamika , wakati waweza kukuta hiyo 2000 unatumia kufanyia Mambo ya hovyo tu,
Yaani kutoa 2000 ili ukomboe maisha yako ya dhiki unashindwa, Unataka kusema haufahamu kuwa maisha ni Vita na kupigania opportunity sindio, !? Mjomba labda nikukumbushe this is Africa Kama hautaki kutoa hiyo 2000 acha ubaki na njaa zako
Na mabadiliko siyo lazima yawe vile unavyotaka wewe.Mabadiliko hayawezi kufanywa na mimi peke yangu
Wewe ni ngumbaru maana unataka kuhalalisha haramu iwe halali.Na nyie jifunzeni kuheshimu muda wa watu.
Hivi unafikiri kazi ya WEO Ni kukaa tu ofisini kusubiri watu walete barua zao ugonge mihuri?
Watu kama nyie ningekiwa Mimi, Wala hata nisingepitisha barua yako.
Ikiwepo kihalali sio mbayaNa mabadiliko siyo lazima yawe vile unavyotaka wewe.
Sana, badala ya kumpa WEO hiyo 2,000 au 1,000 Halmashauri zitagundua kumbe Mhuri wa WEO ni chanzo Cha mapato.
Zitatunga sheria ya kila barua Tsh 5,000 na kuwakabidhi POS za risiti maWEO.
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Hakuna Halmashauri huwa zinaacha pesa kizembe.
Bila shaka wewe utakuwa mjumbe wa nyumba kumi ama VEO maana sio kwa kutetea ujinga kama huo.Na nyie jifunzeni kuheshimu muda wa watu.
Hivi unafikiri kazi ya WEO Ni kukaa tu ofisini kusubiri watu walete barua zao ugonge mihuri?
Watu kama nyie ningekiwa Mimi, Wala hata nisingepitisha barua yako.
Anyway, Sina muda wa kubishana.Wewe ni ngumbaru maana unataka kuhalalisha haramu iwe halali.
Unampotezeaje muda wakati ndo moja ya majukumu yake? Kwani kabla ya kusaini mkataba wa kazi si alisoma job description na akaridhika anachotakiwa kukifanya?
So kugonga muhuri ni moja ya majukumu yake ambayo kimsingi ndo yanamlipa mshahara.
Kwa mujibu wa sheria ipi ama mwongozo upi? Usitake kuleta mazoea yako yawe sheria kwa wengine.ivi hujawahi pata huduma serikali za mitaa ee kabla, au hata kwa mjumbe
kwa mjumbe tu kwenyewe kuweka sahihi yake inabidi uache 1000
documentation yoyote ile inayohitaji notarization ya serikali ndogo (ya mtaa) siyo bure
Hao wengine anakuwa anawajuaje hadi asimjue huyo mmoja tu?Mmeambiwa mmepeleke huko lakini hshaurutishwi kumpitishia barua mtu yeyote.
Maana yake, unapitishq baraua kwake ili kuthibitisha kama kweli wewe Ni mkazi wa kata hiyo.
Sasa akisema hakujui kama Ni mkazi wa kata hiyo unafanyaje ?
Wanalipwa posho na halmashauri kwa kazi hiyo. Hilo hulijui?Mfano, Wenyeviti serikali za Mitaa hawana mishahara.
Hivi anadhani wanafaidikaje ?
Ikiwepo kihalali sio mbaya
Kubishana kila MBUGIRA anaweza.Hao wengine anakuwa anawajuaje hadi asimjue huyo mmoja tu?
Hadi unaenda ofisi ya kata maana yake ni kwamba umepitia kwa mjumbe wa nyumba kumi na serikali ya mtaa pia hao ndo wanakutambulisha kwamba wewe ni mkazi wa eneo hilo.
Sasa mjumbe anayewafahamu wakazi wake wote akupitishe kwa barua then mtendaji wa kata aseme hakutambui kama ni mkazi wa kata yake?
Sawa, Mimi Ni WEO.Bila shaka wewe utakuwa mjumbe wa nyumba kumi ama VEO maana sio kwa kutetea ujinga kama huo.
Kuuza na kununua mashamba ama nyumba kuna asilimia inakatwa kwa mnunuzi na muuzaji inaenda serikalini sio mifukoni mwa VEO,WEO wala mwenyekiti wa mtaa.Hivi mfano, unauza Kiwanja au nyumba yako, shuhuda wa kwanza mwenyekiti serikali ya mtaa.
Je, utalipa au Ni sehemu ya majukumu yake ?
Hajui huyu kwamba ukienda kwa watendaji lazima unuke.Umeshawahi kufanya kazi na Watendaji Kata na Vijiji hata siku moja?