Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mama samia huna washauri?? Anaekushauri unyambafu fukuza kabisa,, itafikia kuwekewa camera vyooni, kunya tulipie tozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa gereji ya boda naweza kulaza zaidi ya hiyo hela kwa siku..sasa kulipia kwa mwezi ndio iwe hela kubwa..Hatukatai kuhusu usafi je Unaona sawa gereji bodaboda kutozwa 120000 kwa mwezi?
Boda/gereji wanatoa kwa umoja hiyoHatukatai kuhusu usafi je Unaona sawa gereji bodaboda kutozwa 120000 kwa mwezi?
Fundi kwenye gereji ya bodaboda anaweza kulaza zaidi ya 120000 kwa siku?? Laki na ishirini?Mtu wa gereji ya boda naweza kulaza zaidi ya hiyo hela kwa siku..sasa kulipia kwa mwezi ndio iwe hela kubwa..
Kwanza watu wagereji ndio wachafuzi wakubwa..oil chafu zinaharibu sana mazingira hasa ardhi..lipeni hizo tozo acheni kulialia.
Watanzania tumezidi kulialia sana..ujamaa ulituharibu akili.
#MaendeleoHayanaChama
Hakuna gereji ya bodaboda wanaweza kulipa laki na ishirini kwa mwezi.Boda/gereji wanatoa kwa umoja hiyo
Ova