DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mama samia huna washauri?? Anaekushauri unyambafu fukuza kabisa,, itafikia kuwekewa camera vyooni, kunya tulipie tozo
 
Hatukatai kuhusu usafi je Unaona sawa gereji bodaboda kutozwa 120000 kwa mwezi?
Mtu wa gereji ya boda naweza kulaza zaidi ya hiyo hela kwa siku..sasa kulipia kwa mwezi ndio iwe hela kubwa..

Kwanza watu wagereji ndio wachafuzi wakubwa..oil chafu zinaharibu sana mazingira hasa ardhi..lipeni hizo tozo acheni kulialia.

Watanzania tumezidi kulialia sana..ujamaa ulituharibu akili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Fundi kwenye gereji ya bodaboda anaweza kulaza zaidi ya 120000 kwa siku?? Laki na ishirini?

Humu Kuna watu ubongo hawana kabisa, SAD
 
Sheesh.. Unapigwa malaki ya kulipa wazoa taka na bado Jumamosi ya mwisho wa mwezi unafanya usafi wa pamoja..[emoji3]
Endeleni kusifu kwa nyimbo na mapambio.
Tangu namba E zianze watu wanatafuta hela kwa fujo sana..
 
Hii mambo inachanganya sana! Hivi majuzi tumetangaziwa na vyombo vya habari kuwa taka zitaanza kuzalisha nishati ya gesi asilia, Je inakuwaje tena watu waanze kulipia badala ya kuuza hizi taka? Hapa mie nazani hata jukumu lakukusanya hizo taka angeachiwa mwekezaji kisha serikali ikusanye kodi au tozo kwa mwekezaji vingievyo wananchi tunapigwa mara mbili!
Taka zetu wanatutoza tozo, na zikishatengenezwa kuwa gesi asilia tunauziwa tena hiyo gesi!
 
shooketh-computer.gif
 
Back
Top Bottom