Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Sababu kubwa ni kwamba ofisi ilikuwa Ilala na sasa imehamia Temeke na leseni yangu ambayo bado iko active nilikuWa sijai-relocate. Na nimehamia hapa mwezi huu kwa hiyo hilo zoezi nilikuwa njiani kulifanya ila wao wameniwahi na hawataki kuelewa kila napowapa maelezo.
Wamemchukua mhasibu wangu na wanazunguka nae tu kwenye gari kuchukua wafanyabiashara wengine, wamefanya sana harrasment mpaka kufikia hatua ya kumpokonya simu binti yangu kiasi kwamba akawa analia.
Niko njiani naelekea huko.
Naomba ushauri, je ninatakiwa kuchukua hatua gani ili kupata haki yangu Kisheria maana siko tayari kuona hili linapita hivi hivi.
Ushauri wenu wakuu!
Natanguliza shukrani zangu