Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Mkuu hao wanachotaka ni hela wanazoita faini(rushwa) ukishawapa hizo hata usipolipia leseni watakupa muda wa kutosha tuSababu kubwa ni kwamba ofisi ilikuwa Ilala na sasa imehamia Temeke na leseni yangu ambayo bado iko active nilikuWa sijai-relocate. Na nimehamia hapa mwezi huu kwa hiyo hilo zoezi nilikuwa njiani kulifanya ila wao wameniwahi na hawataki kuelewa kila napowapa maelezo
Wamemchukua mhasibu wangu na wanazunguka nae tu kwenye gari kuchukua wafanyabiashara wengine, wamefanya sana harrasment mpaka kufikia hatua ya kumpokonya simu binti yangu kiasi kwamba akawa analia.
Niko njiani naelekea huko
Naomba ushauri, je ninatakiwa kuchukua hatua gani ili kupata haki yangu Kisheria maana siko tayari kuona hili linapita hivi hivi.
Ushauri wenu wakuu!!
Natanguliza shukrani zangu
Kuna mmoja alikuja kwangu namimi nilikuwa na tatizo kama lako sema mimi ni same district different ward ukimuelekeza anasema "mimi nataka ela tu hapa" kiufupi ni wahuni wanaotaka maendeleo kwa upigaji