Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Leseni yangu iko valid mzee hujaelewa?mkuu kata leseni
Sana chief..hiv hawawaelimishi hawa watu wao aisee???Mbinu zinazotumiwa na Manispaa ya Temeke kusaka Leseni za biashara iko siku zitasababisha Maafa
Siku ukiambiwa maandamano shirikiSababu kubwa ni kwamba ofisi ilikua Ilala na sasa imehamia temeke na leseni yangu ambayo bado iko active nilikua sijai relocate. Na nimehamia hapa mwezi huu kwahiyo hilo zoez nilikua njian kulifanya ila wao wameniwah na hawataki kuelewa kila napowapa maelezo
Wamemchukua muhasibu wangu na wanazunguka nae tu kwenyw gari kuchukua wafanya biashara wengine, wamefanya sana harrasment mpaka kufikia hatua ya kumpokonya simu bint yangu kiasi kwamba akawa analia.
Niko njian naelekea huko
Naomba ushauri, je ninatakiwa kuchukua hatua gani ili kupata haki yangu Kisheria maana siko tayar kuona hil linapita hiv hivi.
Ushauri wenu wakuu!!
NAtanguliza shukrani zangu
kwahiyo leseni ya Tarime naeza fanyia biashara IlalaLeseni yangu iko valid mzee hujaelewa?
Niliona Mahali wakimdhalilisha mtu nikashangaa sana! Halafu si kwamba hakuwa na leseni kabisa bali iliisha muda wake tuSana chief..hiv hawawaelimishi hawa watu wao aisee???
Unaweza vizurim.unai relocate tu ukija ilala.kwahiyo lesni ya tarime naeza fanyia biashara ilala
Maandamano tena?Siku ukiambiwa maandamano shiriki
Una kampuni, au biashara unahisi mfanya wako kafanyiwa harassment na watu wa council na hujui cha kufanya kweli mkuu wangu? Basi pole.Sababu kubwa ni kwamba ofisi ilikua Ilala na sasa imehamia temeke na leseni yangu ambayo bado iko active nilikua sijai relocate. Na nimehamia hapa mwezi huu kwahiyo hilo zoez nilikua njian kulifanya ila wao wameniwah na hawataki kuelewa kila napowapa maelezo
Wamemchukua muhasibu wangu na wanazunguka nae tu kwenyw gari kuchukua wafanya biashara wengine, wamefanya sana harrasment mpaka kufikia hatua ya kumpokonya simu bint yangu kiasi kwamba akawa analia.
Niko njian naelekea huko
Naomba ushauri, je ninatakiwa kuchukua hatua gani ili kupata haki yangu Kisheria maana siko tayar kuona hil linapita hiv hivi.
Ushauri wenu wakuu!!
NAtanguliza shukrani zangu
Unayatafuta tu mengine na kutaka tuanze mabishano.Una kampuni, au biashara unahisi mfanya wako kafanyiwa harassment na watu wa council na hujui cha kufanya kweli mkuu wangu? Basi pole.
Lesen ninayo ninatakiwa kufuatilia barua toka ilala kuonyesha kuwa biashara kwasasa imehama kisha wai relocate isome TemekeNjia waliyoitumia hao watu wa Halmashauri sio sahihi, na haitakiwi kuwachekea.
Unaweza ukawapa kesi kwamba wamekuibia ama kukupora Mali na vitu vya Thamani ikiwemo hiyo simu ya Binti yako wa kazi
Adhabu Kwa watu wasio na leseni ya biashara zipo wazi Kwa mujibu wa Sheria, ikiwemo kumpa muda wa kulipia, kumpa faini ama kufungia biashara yake
Ushauri wangu, nenda ukate leseni ya eneo husika.
Kama biashara yako ipo Temeke, Kata leseni ya Temeke.
Kama ipo Ilala, nenda ukate ya Ilala.
Ni mgeni wa hiznhabar na jnavyojua tena mabint plus wogaKwanini huyo Binti akubali kuchukuliwa? Hatua za Kisheria si zipo.
Huyo ningefukuza kazi siku 2 tuu hata balance sheet za soka hawez ku deal nazo, sembuse pesa
Kila la heri Mkuu 🙏Lesen ninayo ninatakiwa kufuatilia barua toka ilala kuonyesha kuwa biashara kwasasa imehama kisha wai relocate isome Temeke
Shukran mkuu wanguKila la heri Mkuu 🙏