Halmashauri ya Temeke wamemnyanyasa muhasibu wangu ofisini wangu kisa leseni, nataka kuchukua hatua, nifanyeje?

KWani kukata leseni bei gani? Mbona ujizungushe kote huko?
 
Dah kwel mkuu, maisha yetu yenyewe haya ya kuunga unga familia inakutegemea bado wakakutie ulemavu kwa kuandamana hapo sasa si unakua umeongeza tatizo?
 
Ujuha ni kudhani umeandika hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…