Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida.
Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati zinazotolewa mpaka leo kwa makazi ya kuishi watu. Hivyo hivyo kwa Mashamba.
Waziri Lukuvi tunaomba uingilie kati suala hili. Liko ndani ya uwezo wako na si la Samia hili.