A
Anonymous
Guest
Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa vijijini.
Hiyo ni kutokana na kitendo chao cha kuondoa gulio lao la kila Jumatano na kulipeleka kwa nguvu eneo la Omukilembo na wakati hakuna miundombinu yoyote.
Pia, umbali ni mrefu mno mfano kutoka Bugandika kwenda kule, nauli ni Sh 5,000, Wananchi waligoma kwenda kule na soko lishakufa kabisa.
Niendelee kutoa wito kwa viongozi hao kurudisha gulio hilo la Bugandika maana Wananchi wanakosa huduma za msingi.