A
Anonymous
Guest
Kero yetu ni kutolipwa fedha ya kujikimu, sisi ni Walimu Ajira Mpya mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, tukifuatilia tunapewa majibu ya kukatisha tamaa, na vitisho pia!!
Serikali itusaidie, maana hatuna pa kwenda!! Ajira mpya ya 2026, wamekuja, ndani ya wiki moja tu wakalipwa fedha zao zote, lakini sisi wa tangu 2025 mpka Leo hii, hakuna jambo
Hii Wilaya ipo ndani ya Mkoa wa Lindi, Watumishi wanadai fedha zao tangu Mwaka 2016 mpaka leo hii. (ikiwemo za uhamisho, kujikimu na majukumu mbalimbali ya kiutumishi hasa walimu).
Hawajapewa mpaka leo! Natamani siku moja Serikali ije ifanye ukaguzi katika hii halmashauri maana ni changamoto haswaa.