Yaani sehemu yenye maziwa na asali, shule unakuwa Hivyo Hivyo, Hatari!Hii ni shule ya msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Nyimbo halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu,
View attachment 3600800View attachment 3600801View attachment 3600802View attachment 3600803
Sehemu yenye maziwa na asali, shule inakuwa ovyoo Hivyo, Hatari!Hii ni shule ya msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Nyimbo halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu,
View attachment 3600800View attachment 3600801View attachment 3600802View attachment 3600803
Haya ni mateso kwa watoto kipindi cha baridi Rungwe.Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
Pia soma ~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki
kweli kabisa.Yote kwa Yote.MARIDHIANO na KATIBA MPYA ni muhimu.Hii nchi inataka mtu ambaye itailelea kama nafsi yake , kama alivyokuwa Gaddaf .Bahati mbaya , wanasiasa wanapenda kujiona wao ndiyo viongozi , wakati kiongozi sio lazima awe na chama cha siasa.