KERO Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe litazameni Soko la Ndizi Kiwira, mazingira siyo rafiki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
879
Reaction score
814
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja.

Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.

DSC_1477 (1).JPG

DSC_1477.JPG
DSC_1476.JPG
DSC_1475.JPG
DSC_1473.JPG
DSC_1477 (1).JPG

6295188-eacb594cb249b9030b7bbcda90969859.jpg
6295191-61e2196932ba54a68a9c5f9fe7c872e6.jpg
6295190-7840e3d268faa85d4d397dd47c2193e6.jpg

​
 
Mwanongwa leo nimekatiza mitaa ya Kiwira wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu.
Yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua ,soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja.
Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.
Na wanakusanya mapato . Mfumo wa local government ni mfumo wa hovyo sana kuwahi kutokea. Yaani halmashauri zinakusanya hela .

Ila pesa yote inayokusanywa ni kwaajili ya kumlipa posho mkurugenzi kwenye safari zake na kuwalipa madiwani posho za vikao. Makusanyo hayaelekezwi kwenye kuboresha huduma za jamii
 
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja.

Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.

Kodi inaliwa!
 
Hilo soko kampuni ya Mwigulu Nchemba (Waziri Mkuu Haramu) iliwahi kupewa tenda ya kufanya ukarabati, wakaishia kuzitafuna pesa tu.
 
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja.

Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.

Ushuru wanakusanya au hapana
 
Back
Top Bottom