Hahaha! kila mtu kampenda mtu tofauti kwenye lile tangazo,ngoja tumsikie mzee atakaempenda mama mtu.Aisee mie yule baba wa binti ndio huwa ananikosha.anatabasamu zuri sana lenye kumtoa nyoka pangoni.yaan nataman ningekuwa infii wake maana yule mzee anajua kubembeleza.angekuwa ananiambia 'chanda chema huvishwa pete mpnz'
Ndio kabeba mzigo :rain:
Makampuni mengi hayatangazi TBC utaona ITV na Channel 10.Sijaona mpaka naenda kulala au tbc halipo?
Makampuni mengi hayatangazi TBC utaona ITV na Channel 10.
Nalipenda la nipige tafu voda!
mchana walikuwa wapi, mpaka waende ukweni usiku? duh!!!!!!!!!!!!!!!!
ha ha ha ha ha!!!! kwakweli silipendi hilo tangazo, likitokea tu nabadili channel faster.tangazo bayaaaaaa
wote hawana ubunifu
wale wadada na mchumba wao wanaongea km wamekremisha ivi
yaan neno afta neno km anasoma injili ya yohana
yule ni wa Bukoba.Jamaa laonekana linatokea mbeya.
ha ha ha ha ha!!!! kwakweli silipendi hilo tangazo, likitokea tu nabadili channel faster.
Aisee mie yule baba wa binti ndio huwa ananikosha.anatabasamu zuri sana lenye kumtoa nyoka pangoni.yaan nataman ningekuwa infii wake maana yule mzee anajua kubembeleza.angekuwa ananiambia 'chanda chema huvishwa pete mpnz'
Infact yule atakuwa wa kagera tu.yule ni wa Bukoba.
Huyu jamaa rafiki yangu,bonge la mbwiga..mkulima fulan toka mwanza..
Hapo hujasikia vizuri anasema 'si naongea na wewe'Dada mapepe "si unaolewa wewe". dogo anajidai hajali huku anajinetwekisha