Haloo Mpenzi... Ndo niko kona ya mwisho hapa..

Haloo Mpenzi... Ndo niko kona ya mwisho hapa..

Aisee mie yule baba wa binti ndio huwa ananikosha.anatabasamu zuri sana lenye kumtoa nyoka pangoni.yaan nataman ningekuwa infii wake maana yule mzee anajua kubembeleza.angekuwa ananiambia 'chanda chema huvishwa pete mpnz'
Hahaha! kila mtu kampenda mtu tofauti kwenye lile tangazo,ngoja tumsikie mzee atakaempenda mama mtu.
 
Dada mapepe "si unaolewa wewe". dogo anajidai hajali huku anajinetwekisha
 
Sijaona mpaka naenda kulala au tbc halipo?
 
Haya bana naona hakuna wa kunijulisha usiku mwema
 
Nalipenda la nipige tafu voda!

Ha haa haa..!! yaani linakumbusha dogo mmoja pale alipoachia 'kubwa'. Basi ile yule jamaa kupiga ile tairi teke, dogo nae akuvuta pumzi kali na kuachia 'kubwa'. Basi namiye naripendaga pendaga hiro ritangazo!!
 
mchana walikuwa wapi, mpaka waende ukweni usiku? duh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tangazo bayaaaaaa
wote hawana ubunifu
wale wadada na mchumba wao wanaongea km wamekremisha ivi
yaan neno afta neno km anasoma injili ya yohana
 
tangazo bayaaaaaa
wote hawana ubunifu
wale wadada na mchumba wao wanaongea km wamekremisha ivi
yaan neno afta neno km anasoma injili ya yohana
ha ha ha ha ha!!!! kwakweli silipendi hilo tangazo, likitokea tu nabadili channel faster.
 
Aisee mie yule baba wa binti ndio huwa ananikosha.anatabasamu zuri sana lenye kumtoa nyoka pangoni.yaan nataman ningekuwa infii wake maana yule mzee anajua kubembeleza.angekuwa ananiambia 'chanda chema huvishwa pete mpnz'

ningalishangaa sana ... thx God it is not FL1 .... haya majina yenu jamani ... !!
 
Kwa kweli lile tangazo voda walichemka saaaana, jamaa mshamba anaongea kilegevu ni muoaji kweli yule! Ahh Ajua Ad plz!
 
Back
Top Bottom