Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
UpoHv huu mtandao bdo upo kumbe
Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana .
Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB.
MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja
Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana .
Sijui kiongozi wenu ni nani .
Hamjitambui
Upo mkuu,mtandao wakikuda huu!Hv huu mtandao bdo upo kumbe
Tokeni hukoUpo mkuu,mtandao wakikuda huu!
Wewe kagua Apps zipi zinarun background / kufanya automatic updates , hao jamaa wazinguaji kwenye calls ila kwa kesi ya wizi wa MBs hii nawatetea hawana hizo mamboHaloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana .
Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB.
MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja
Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana .
Sijui kiongozi wenu ni nani .
Hamjitambui
Acha uongo mkuu inamaana notification haziingii kias kwamba ukute MB ziwe vilevilewapigie wakusetie huu nimtandao bora sana kwenyekila engo sijui unafeliwapi?Mimi sizimi data na mb zangu ziko sef kabisa kamasijatumia haitoki hata mb moja
sio uongo nikweli kabisa.mb zangu haziishi kizushi.Acha uongo mkuu inamaana notification haziingii kias kwamba ukute MB ziwe vilevile
Yap, upo rafiki kwa sisi wanyonge. Sh 15,000 napata GB 18 mwezi mzima.Hv huu mtandao bdo upo kumbe
Saws lakini sio kusema haipungui hata mb 1 data zipo onsio uongo nikweli kabisa.mb zangu haziishi kizushi.
wapigie simu wakuangalizie nakukusetia ufurahi