NAKAZIA. MIX BY YAS WANABOA WANAZI FREEZE MB HATA ZIWE MB 20, SASA WAKAT MWINGINE UNAHITAJI UNUNUE BANDO KUPITIA INTERNET CONNECTION UNAKOSA. na Voda Ofa yenu ya Kanda ya kati ya kishamba sana mmeweka madakika matupu bila hata kuweka data.au mmetuona tunapenda kuongea sana tuuwe masikio.weken na data we unatoa dk 3000 kwa sh 1000,za nini zote hizoHamia vodacom.
Sijutii baada ya kutoka yas kuja voda, GB zangu naona ziko safe na voda.
Yas mb haziishi vizuri na zinakata fasta mno hata uweke settings za namna gani kuzikaba ila bado wanaziporonyoa.
Sawa tumekusikia.NAKAZIA. MIX BY YAS WANABOA WANAZI FREEZE MB HATA ZIWE MB 20, SASA WAKAT MWINGINE UNAHITAJI UNUNUE BANDO KUPITIA INTERNET CONNECTION UNAKOSA. na Voda Ofa yenu ya Kanda ya kati ya kishamba sana mmeweka madakika matupu bila hata kuweka data.au mmetuona tunapenda kuongea sana tuuwe masikio.weken na data we unatoa dk 3000 kwa sh 1000,za nini zote hizo
haipungui acha ujuaji.Saws lakini sio kusema haipungui hata mb 1 data zipo on
Unapataje izo gb 18Yap, upo rafiki kwa sisi wanyonge. Sh 15,000 napata GB 18 mwezi mzima.
1. Wana line ya Internet tu.Unapataje izo gb 18
Ni lainii mbili tofauti ndo zinakuwa na iyo options1. Wana line ya Internet tu.
2. Wana line nyingine kwenye maduka yao inauzwa 10,000. Hii unapiga na kupata hiyo huduma ya Gb.
Yap.Ni lainii mbili tofauti ndo zinakuwa na iyo options
FafanuaZima autoupdate ya apps zote
Zima background activities ya apps zote
Weka restriction mode
Shida si mtandao bali Shida ni wewe hujui kuset applications zako kwenye simu ili zisile data sana.Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana .
Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB.
MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja
Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana .
Sijui kiongozi wenu ni nani .
Hamjitambui
Ipii iko powa kw mbYap.
Hiyo ya pili ni laini ya kawaida ya call na sms lakini ina huyo huduma ya Gb.
Wanasema zote zipo sawa, tofauti ni kwamba nyingine unaweza kuitumia kupiga na kutuma sms kama line yakawaida.Ipii iko powa kw mb