hakikisha umehakiki setting za internert kwenye kifaa chako unachotumiaJana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.Jana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nieleweshe hapahakikisha umehakiki setting za internert kwenye kifaa chako unachotumia
Oooh, basi nimekuelewa huwa naunga mb zikiisha, shukraniYani watanzania wengi hatuna namna ya kutumia logic.
Ipo hivi: Umejiunga kifurushi cha 500 01/12/2022 saa 9 jioni labda Mb 200 hichi kina expire 02/12/2022 saa 9 jioni. Hichi umekitumia 60% - 70% mostly bando likifika hii stage huwa speed inapungua by default. Mara nyingi wengi huwa wananua kabla ha hichi kifurushi ku expired au Mb zipo 0.00
Kwakua speed huwa imepungua wengi huwa tunanunua kifurushi kingine kabla ya kile cha kwanza kuisha.
Ilipofika 01/12/2022 saa 2 usiku ukanunua kifurushi cha 1000 labda MB 490. Ukiendelea kutumia Internet bado unakua hautumii ile la elfu moja bado utakuia una consume bado lile la 500 (system za telcom huwa zipo order by assessing "cha kwanza kuingia cha kwanza kutoka" kwenye bando zao) sasa kwakua bando la 500 speed ilikua low baada ya kuongeza la buku speed ita rise na kwakua bando inalotumia bado ni la 500 lile bando likifika 75% , 90% au 100% unatumiwa text kukujulisha kuwa bando lako la mia 500 lipo na statua gani.
Watu wengu huwa wananchangaya labda akipinga *103# kuangalia salio, lili salio ni accumulative (wana jumlisha bando zako zote) sio individually
Kwa muktadha huo Halotel wapo sasa.
Sijui kama nimeeleweka
Hapo ndio shidaJana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona hujaeoewa hapa sizungumzi matumizi. Kwa ufupi nimejiunga mega bando kwa shipingi elf moja yenye mb 440.
Soma ujumbe niliyotumiwa unadai nimetumia 75% ya kifurushi Cha mb 440, kiuhalisia asilimia 75 ya mb 440 ni ningebakiwa na mb 110 hivi ila hadi Sasa kuna mb 377. Hii ni bug if..else zimewakaa kushoto kwenye system yao.
Pili naoetewa ujumbe wa kujiunga kifurushi cha 3000 , ila mie nimejiunga kwa elf moja sijui unanieoewa. Usikariri matumizi na wakati mie sijaoaoamika matumizi ya kifurushi.
OkNaomba nieleweshe hapa
Pole sana kakaNilishazuia na sina groups WhatsApp hata status huwa siangalii sana, social media ni fb, jf na WhatsApp tu. chakushangaza kifurushi ni cha buku na sio buku tatu
NomaSasa hivi mmekua matapeli,Jana nimejiunga kifurushi Cha siku na kabla hakijaisha nkajiunga Cha wiki..lakini cha ajabu mnakata mb kwenye kifurushi cha wiki kabla cha siku hakijaisha .nimewapigia wahudumu wakanambia nizime simu na kuwasha lakini wapi?nimejaribu kuwapigia mara ya pili nilivoanza kuongea na mhudumu simu ikakatwa,nikapiga tena ikakatwa[emoji1745]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500
Sent using Jamii Forums mobile app