Halotel hiki ni nini?

Halotel hiki ni nini?

Jana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtandao unaofanya kazi mbovu, shda ni matumizi yetu wenyewe
 
Jana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500

Sent using Jamii Forums mobile app
hakikisha umehakiki setting za internert kwenye kifaa chako unachotumia
 
Jana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.

Hapo umeshaibiwa na punde utapata ujumbe mwingine watakuambia umemaliza kifurushi chako.

Ni wizi ambao umehalalishwa na mamlaka.

Banana republic.
 
Yani watanzania wengi hatuna namna ya kutumia logic.

Ipo hivi: Umejiunga kifurushi cha 500 01/12/2022 saa 9 jioni labda Mb 200 hichi kina expire 02/12/2022 saa 9 jioni. Hichi umekitumia 60% - 70% mostly bando likifika hii stage huwa speed inapungua by default. Mara nyingi wengi huwa wananua kabla ha hichi kifurushi ku expired au Mb zipo 0.00

Kwakua speed huwa imepungua wengi huwa tunanunua kifurushi kingine kabla ya kile cha kwanza kuisha.

Ilipofika 01/12/2022 saa 2 usiku ukanunua kifurushi cha 1000 labda MB 490. Ukiendelea kutumia Internet bado unakua hautumii ile la elfu moja bado utakuia una consume bado lile la 500 (system za telcom huwa zipo order by assessing "cha kwanza kuingia cha kwanza kutoka" kwenye bando zao) sasa kwakua bando la 500 speed ilikua low baada ya kuongeza la buku speed ita rise na kwakua bando inalotumia bado ni la 500 lile bando likifika 75% , 90% au 100% unatumiwa text kukujulisha kuwa bando lako la mia 500 lipo na statua gani.

Watu wengu huwa wananchangaya labda akipinga *103# kuangalia salio, lili salio ni accumulative (wana jumlisha bando zako zote) sio individually

Kwa muktadha huo Halotel wapo sasa.

Sijui kama nimeeleweka
 
Mkuu naona hujaeoewa hapa sizungumzi matumizi. Kwa ufupi nimejiunga mega bando kwa shipingi elf moja yenye mb 440.

Soma ujumbe niliyotumiwa unadai nimetumia 75% ya kifurushi Cha mb 440, kiuhalisia asilimia 75 ya mb 440 ni ningebakiwa na mb 110 hivi ila hadi Sasa kuna mb 377. Hii ni bug if..else zimewakaa kushoto kwenye system yao.
Pili naoetewa ujumbe wa kujiunga kifurushi cha 3000 , ila mie nimejiunga kwa elf moja sijui unanieoewa. Usikariri matumizi na wakati mie sijaoaoamika matumizi ya kifurushi.
 
Oooh, basi nimekuelewa huwa naunga mb zikiisha, shukrani
 
Jana nimejiunga kifurushi cha 1000 nikapewa mb 490 baada ya dk 5 wakanitumia nimetumia 75% ya kifirushi cha 500 salio ni mb 53. Halotel sijui wamekuwa vipi, unajiunga kifirushi cha 1000 unapewa mb za kifurushi cha 500

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio shida
 
Mkuu naona hujaeoewa hapa sizungumzi matumizi. Kwa ufupi nimejiunga mega bando kwa shipingi elf moja yenye mb 440.

Soma ujumbe niliyotumiwa unadai nimetumia 75% ya kifurushi Cha mb 440, kiuhalisia asilimia 75 ya mb 440 ni ningebakiwa na mb 110 hivi ila hadi Sasa kuna mb 377. Hii ni bug if..else zimewakaa kushoto kwenye system yao.
Pili naoetewa ujumbe wa kujiunga kifurushi cha 3000 , ila mie nimejiunga kwa elf moja sijui unanieoewa. Usikariri matumizi na wakati mie sijaoaoamika matumizi ya kifurushi.
Naomba nieleweshe hapa
Ok
 
Nilishazuia na sina groups WhatsApp hata status huwa siangalii sana, social media ni fb, jf na WhatsApp tu. chakushangaza kifurushi ni cha buku na sio buku tatu
Pole sana kaka
 
Sasa hivi mmekua matapeli,Jana nimejiunga kifurushi Cha siku na kabla hakijaisha nkajiunga Cha wiki..lakini cha ajabu mnakata mb kwenye kifurushi cha wiki kabla cha siku hakijaisha .nimewapigia wahudumu wakanambia nizime simu na kuwasha lakini wapi?nimejaribu kuwapigia mara ya pili nilivoanza kuongea na mhudumu simu ikakatwa,nikapiga tena ikakatwa[emoji1745]
 
Noma
 
Back
Top Bottom