Yani watanzania wengi hatuna namna ya kutumia logic.
Ipo hivi: Umejiunga kifurushi cha 500 01/12/2022 saa 9 jioni labda Mb 200 hichi kina expire 02/12/2022 saa 9 jioni. Hichi umekitumia 60% - 70% mostly bando likifika hii stage huwa speed inapungua by default. Mara nyingi wengi huwa wananua kabla ha hichi kifurushi ku expired au Mb zipo 0.00
Kwakua speed huwa imepungua wengi huwa tunanunua kifurushi kingine kabla ya kile cha kwanza kuisha.
Ilipofika 01/12/2022 saa 2 usiku ukanunua kifurushi cha 1000 labda MB 490. Ukiendelea kutumia Internet bado unakua hautumii ile la elfu moja bado utakuia una consume bado lile la 500 (system za telcom huwa zipo order by assessing "cha kwanza kuingia cha kwanza kutoka" kwenye bando zao) sasa kwakua bando la 500 speed ilikua low baada ya kuongeza la buku speed ita rise na kwakua bando inalotumia bado ni la 500 lile bando likifika 75% , 90% au 100% unatumiwa text kukujulisha kuwa bando lako la mia 500 lipo na statua gani.
Watu wengu huwa wananchangaya labda akipinga *103# kuangalia salio, lili salio ni accumulative (wana jumlisha bando zako zote) sio individually
Kwa muktadha huo Halotel wapo sasa.
Sijui kama nimeeleweka