BaelezeShallow reasoning. Our bandari is a gateway to our economy and security of our nationhood and therefore and this should not be tampered with!
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya uma
Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari kashafikisha wateja milioni tatu tayari.
TTCL ambayo imeanzishwa mwaka 1993 mpaka leo haijafikisha wateja milioni 3. huku Halotel aliyekuja Tanzania mwaka 2015 leo hii ana wateja milioni 10
View attachment 2961155
Smile imeuzwa kwa VODA hivyo iondoe hapo kwenye chart yako.Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma
Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari kashafikisha wateja milioni tatu tayari.
TTCL ambayo imeanzishwa mwaka 1993 mpaka leo haijafikisha wateja milioni 3. huku Halotel aliyekuja Tanzania mwaka 2015 leo hii ana wateja milioni 10
View attachment 2961155
Mm ni mmoja wao sijui code ya ttcl isee..Smile imeuzwa kwa VODA hivyo iondoe hapo kwenye chart yako.
TTCL kinachoiuwa ni ukiritimba. Wenzao akina Airtel, VODA, TiGo etc vitendea kazi wanavyo watenda kazi. Mfano mdogo tu, telecom and power engineers wa makampuni hayo, wana magari kama vitendea kazi majumbani, kwa TTCL eti gari analo dereva. Mnara ukizima hadi engineer afike site, down time ni kubwa sana, kiasi cha kumfanya mteja aamue kuhama network. Kwa TTCL gari anatakiwa awe nalo bosi
Na huko nyuma, hawa akina VODA, Airtel na TiGo, walikuwa wantumia E1s za TTCL kufikisha mawasiliano mikoani kutokea ziliko switch (DSM). Kwahiyo TTCL walitumika kama backbone kwenye maeneo hayo. Sasa ikitokea site ya TTCL imezima, maana yake mawasiliano ya VODA, Airtel an TiGo kwa mikoa husika yanakatika. Sasa kumpata mhandisi wa TTCL kwenda kurudisha mawasiliano inachukua muda mrefu sana. Hao jamaa wakaona wanapata hasara, then wakaamua kujenga backborne sites zao, hali iliyopelekea TTCL kukosa mapato makubwa sana kwenye E1, tower space na power.
Ujinga wa watu wachache umepelekea leo hii TTCL iwe hivyo ilivyo. Si ajabu leo hii hata humu JF, kuna watu hata code ya TTCL hawaijua, lakinini ukimwambia 0784 ni namba ya mtandao gani anakujibu vizuri, lakini si kwa TTCL.
Haya yamesababishwa na TTCL wenyewe. Na si peke yako, mpo wengi. We likampuni linapata ruzuku toka serikali linashindwaje kuwapita wasio na ruzuku..!??Mm ni mmoja wao sijui code ya ttcl isee..
hata mm code ya TTCL siijui aseeSmile imeuzwa kwa VODA hivyo iondoe hapo kwenye chart yako.
TTCL kinachoiuwa ni ukiritimba. Wenzao akina Airtel, VODA, TiGo etc vitendea kazi wanavyo watenda kazi. Mfano mdogo tu, telecom and power engineers wa makampuni hayo, wana magari kama vitendea kazi majumbani, kwa TTCL eti gari analo dereva. Mnara ukizima hadi engineer afike site, down time ni kubwa sana, kiasi cha kumfanya mteja aamue kuhama network. Kwa TTCL gari anatakiwa awe nalo bosi
Na huko nyuma, hawa akina VODA, Airtel na TiGo, walikuwa wantumia E1s za TTCL kufikisha mawasiliano mikoani kutokea ziliko switch (DSM). Kwahiyo TTCL walitumika kama backbone kwenye maeneo hayo. Sasa ikitokea site ya TTCL imezima, maana yake mawasiliano ya VODA, Airtel an TiGo kwa mikoa husika yanakatika. Sasa kumpata mhandisi wa TTCL kwenda kurudisha mawasiliano inachukua muda mrefu sana. Hao jamaa wakaona wanapata hasara, then wakaamua kujenga backborne sites zao, hali iliyopelekea TTCL kukosa mapato makubwa sana kwenye E1, tower space na power.
Ujinga wa watu wachache umepelekea leo hii TTCL iwe hivyo ilivyo. Si ajabu leo hii hata humu JF, kuna watu hata code ya TTCL hawaijua, lakinini ukimwambia 0784 ni namba ya mtandao gani anakujibu vizuri, lakini si kwa TTCL.
Unaifahamu hujuma?,basi ndio hio.
Hata wewe Kuna vijana wadogo wa umri wamekuzidi maisha.Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma