Halotel imekumbwa na nini, si mseme msaidiwe?

Halotel imekumbwa na nini, si mseme msaidiwe?

Checnoris

Senior Member
Joined
Aug 21, 2022
Posts
123
Reaction score
269
Kampuni hii haipendagi kusema Chochote na Wala hamuna Kawaida ya kutuma mimeseji miiiingi kama makampuni mengine. Kuna jambo lipo kimyakimya muwe mnasema.

Yaani kama ni kukakata mnakata tu, yaani inaitwa kukata juu kwa juu furushi zenu. Sawa nimekubaliana na Hilo.

Je, wiki nzima Sasa mnakatikakatika, yaani ni kupotea na kurudi mnaingia na kutoka, mnazama na kuibuka, yaani ukiutama mnara una panda na kushuka.

Hata Masuala ya teknohama, yamewasibu nini. Jiangalieni ikiwa DSM hivi mikoani itakuaje???umekubwa na nini, Si mseme msaidiwe??
 
Juzi wamekata GB Tano kwa siku moja. Hawa watapotea maana hata hujatumia GB zimeisha au zimebaki chache. GB ya mwezi kwao siku mbili sijui shida ni ipi?.
 
Mimi natumia Halotel muda wote, sijakutana na tatizo lolote la kukatika kwa mtandao.
Na mtandao wao una kasi nzuri tu.

Changamoto pekee ninayoiona ni kwenye halopesa, hawa jamaa hawakopeshi sijui kwanini.
 
Hata hivyo wamejitahidi sana kuhimili vishindo vya serikali ya kidikteta...hii kampuni kipindi cha mwendazake walisukwasukwa nilifikiri inafungwa jamaa warudi kwao
 
Kampuni hii haipendagi kusema Chochote na Wala hamuna Kawaida ya kutuma mimeseji miiiingi kama makampuni mengine. Kuna jambo lipo kimyakimya muwe mnasema.

Yaani kama ni kukakata mnakata tu, yaani inaitwa kukata juu kwa juu furushi zenu. Sawa nimekubaliana na Hilo.

Je, wiki nzima Sasa mnakatikakatika, yaani ni kupotea na kurudi mnaingia na kutoka, mnazama na kuibuka, yaani ukiutama mnara una panda na kushuka.

Hata Masuala ya teknohama, yamewasibu nini. Jiangalieni ikiwa DSM hivi mikoani itakuaje???umekubwa na nini, Si mseme msaidiwe??
Itakuwa wamefilisika sio bure
 
Mda wote inasoma 3G sijui ni mm tu au Kuna wengine.alafu speed ni ndogo sana sio kama miez mitatu nyuma .Yan kitu Cha mb 30 Ina soma masaa 2 .
 
Kwa hyo bwana February na mzee wa msoga ndo wameamua kupiga pesa na kusepa.
 
Back
Top Bottom