Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Iendelee wapi na mambo yenyewe ndo hayo,..Kazi iendeleeeeeeeeee.
Wananionea sana ๐๐Aisee
Kimeumana..Halotel halotel halotel....
Nimewaita mara 3, please hebu acheni utapeli buana,hivi hii system yenu ya kifurushi cha data kukata internet makusudi kabla ya kifurushi kuisha muda wake ndio nini??? Nime note hii kitu wiki inaenda ya pili sasa ukijiunga kifurushi cha siku (data) kwa mfano kifurushi kinaisha saa 4 usiku,nyinyi wezi kuanzia saa 2 usiku mnakata net halafu mnairudisha baada ya dk 10,15 hadi 20 na mnafanya hivyo mpaka muda wa kifurushi kuisha unapofika,unajikuta hufanyi mambo yako kwa amani kisa nyinyi wahuni...
Hapa yenyewe naandika mshakata aisee,.mnaboa๐๐๐
Kama biashara imewashinda tuuzieni basi sisi,kazi iendelee,nyie mkale matango pori..
~MC~
Mafala tuu,..๐Kimeumana..
Ngoja halotel waje wakomenti halafu watakomenti hivi.. "hawaamini wanachokiona"..๐คฃ๐คฃ
Kichwani ni wapi sasa...??Hadi leo bado umeng'ang'ania matakoni mwa dunia huko unafanya nini?
Yaani bora wasiwepo tuu duniani tujue moja,.Halafu linet ni linasumbua balaa
๐๐ni balaa,.daahDah internet yao iko slow sana.yani 4g yao ni sawa na 3g au 2G iliyo changamka
Majibu yao mepesi kweli kwa maswali magumuHalotel ni wajinga.
Huduma kwa wateja upande wa halopesa unapiga simu dakika 40 ndo wanapokea.
Wana majibu mepesi mepesi mno
Kwahiyo voda ndo wako vizuri..!?Nipo iringa Halotel haisomi Internet kuonyesha bar ya 4G.....nimeshakitupa kiline chao maana nimekinunua juzi tu hapo Victoria leo nimeingia iringa hakisomi ila mtandao upo full.
Vodacom kazi ni kwako
Boss nikifanya hivyo sindo watanizimia na mtandao wenyewe..!?maana wanaona nafaidi sana hawa jamaa.. mfyuuuPole Boss.
Halotel cha kufanya uwe unafanya hivi: Kama umejiunga leo saa 4:00 kesho ikifika saa 3:59 ukijiunga tena zile MB za jana hazi expire.
Me nnachofanya kama nilijiunga MB nyingi nikashindwa zimaliza, nitajiunga ata cha mia 2 ili MB zipewe tena masaa 24.