Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Halotel halotel halotel
Nimewaita mara 3, please hebu acheni utapeli buana,hivi hii system yenu ya kifurushi cha data kukata internet makusudi kabla ya kifurushi kuisha muda wake ndio nini? Nime note hii kitu wiki inaenda ya pili sasa ukijiunga kifurushi cha siku (data) kwa mfano kifurushi kinaisha saa 4 usiku, nyinyi wezi kuanzia saa 2 usiku mnakata net halafu mnairudisha baada ya dk 10,15 hadi 20 na mnafanya hivyo mpaka muda wa kifurushi kuisha unapofika, unajikuta hufanyi mambo yako kwa amani kisa nyinyi wahuni.
Hapa yenyewe naandika mshakata aisee,.mnaboa😏😏😏
Kama biashara imewashinda tuuzieni basi sisi,kazi iendelee,nyie mkale matango pori..
~MC~