Halotel mnazingua saaana aisee!

Halotel mnazingua saaana aisee!

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
18,677
Reaction score
45,532
Halotel halotel halotel

Nimewaita mara 3, please hebu acheni utapeli buana,hivi hii system yenu ya kifurushi cha data kukata internet makusudi kabla ya kifurushi kuisha muda wake ndio nini? Nime note hii kitu wiki inaenda ya pili sasa ukijiunga kifurushi cha siku (data) kwa mfano kifurushi kinaisha saa 4 usiku, nyinyi wezi kuanzia saa 2 usiku mnakata net halafu mnairudisha baada ya dk 10,15 hadi 20 na mnafanya hivyo mpaka muda wa kifurushi kuisha unapofika, unajikuta hufanyi mambo yako kwa amani kisa nyinyi wahuni.

Hapa yenyewe naandika mshakata aisee,.mnaboa😏😏😏

Kama biashara imewashinda tuuzieni basi sisi,kazi iendelee,nyie mkale matango pori..

~MC~
 
kuna kile zawadi kwa rafiki ni shida ukitumiwa data ili utumie zima kwanza simu uwashe ndo utumie. night bundle kwa zawadi ya rafiki wameandika unlimited ukitumiwa sasa inakuja gb 5 tu
 
Halotel halotel halotel....
Nimewaita mara 3, please hebu acheni utapeli buana,hivi hii system yenu ya kifurushi cha data kukata internet makusudi kabla ya kifurushi kuisha muda wake ndio nini??? Nime note hii kitu wiki inaenda ya pili sasa ukijiunga kifurushi cha siku (data) kwa mfano kifurushi kinaisha saa 4 usiku,nyinyi wezi kuanzia saa 2 usiku mnakata net halafu mnairudisha baada ya dk 10,15 hadi 20 na mnafanya hivyo mpaka muda wa kifurushi kuisha unapofika,unajikuta hufanyi mambo yako kwa amani kisa nyinyi wahuni...

Hapa yenyewe naandika mshakata aisee,.mnaboa😏😏😏

Kama biashara imewashinda tuuzieni basi sisi,kazi iendelee,nyie mkale matango pori..

~MC~
Kimeumana..

Ngoja halotel waje wakomenti halafu watakomenti hivi.. "hawaamini wanachokiona"..🤣🤣
 
Nipo iringa Halotel haisomi Internet kuonyesha bar ya 4G.....nimeshakitupa kiline chao maana nimekinunua juzi tu hapo Victoria leo nimeingia iringa hakisomi ila mtandao upo full.

Vodacom kazi ni kwako
 
Nipo iringa Halotel haisomi Internet kuonyesha bar ya 4G.....nimeshakitupa kiline chao maana nimekinunua juzi tu hapo Victoria leo nimeingia iringa hakisomi ila mtandao upo full.

Vodacom kazi ni kwako
Kwahiyo voda ndo wako vizuri..!?
 
Pole Boss.

Halotel cha kufanya uwe unafanya hivi: Kama umejiunga leo saa 4:00 kesho ikifika saa 3:59 ukijiunga tena zile MB za jana hazi expire.

Me nnachofanya kama nilijiunga MB nyingi nikashindwa zimaliza, nitajiunga ata cha mia 2 ili MB zipewe tena masaa 24.
 
Boss nikifanya hivyo sindo watanizimia na mtandao wenyewe..!?maana wanaona nafaidi sana hawa jamaa.. mfyuuu
 
Back
Top Bottom