Halotel wanatuibia sana

Mudi_kidato

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
146
Reaction score
184
HABARI wana jf kupitia umoja wa frilenca dar zone ya kinondoni nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya halotel viettel plc hii kampuni tunaifanyia kazi ya kusajili line zasimu na ilikuwa tunapata mshahara kupitia camishion tena kwa % ukisajili mteja unapata %60 yamatumizi ya mteja mean mteja kwa mwezi akitumia elf 10 yako elf 6 sasa tumepambana vijana hadi camishion ikafika lak5 wemgine lak7 chakushangaza tumelipwa hela isio lizisha na kazi tumefanya yaani umesajili lain 50+ baafa mshahara upande eti unakatwa la2 au lak3 nzima niko hapa kuomba msaada tutumie njia gani malalamiko yetu yafike sehemu usika kama hujaelewa unaweza uliza
 
Kumbe kuna watanzania Bado wanasajili na kutumia line za Halotel?

Walianza vyema mwanzoni Miaka ile ya 2015-2016 walikua na huduma nzuri hasa Internet upande wa vijijini.

Wakalewa Sifa na kuzidiwa na wateja wakawa kama makampuni mengine, wengi tukawaacha. Sasa Nina miaka zaidi ya 5 situmii huduma za Halotel

Tuje kwenye mada yako, Kama mkataba unasema hayo umeelezea, basi waburuzeni Kortini.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20230304-104740.png
    128 KB · Views: 11
mna mkataba?
 
[emoji3][emoji16]
 
Binafsi Mimi Ni mteja kindakindaki wa halotel.
 
Binafsi Mimi Ni mteja kindakindaki wa halotel.
Ah ndo hvyo hawatutendei haki wafanyakazi wake alafu bado watu wanalalamika mawakala wezi kumbe tatizo linaanzia huko ndani
 
Nilikua na ndugu yangu anafanya kazi hapo. Naskia mishahara ya hao jamaa ni kama ya housegirl[emoji23][emoji23]
 
Asee siku hizi halotel ime kua ina jizima data na kuwaka najikuta siwezi open chochote maana kufungua tu app ina zima ..nki refresh ina zima tena hadi najikuta sifanyi chochote while mitandao mingine iko vzuri tu ..@Chief-Mkwawa
 
Huu mtandao ulikuwa mzuri ila walipopigwa faini na wabongo kuingilia wakaWageuka raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…