Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
HABARI wana jf kupitia umoja wa frilenca dar zone ya kinondoni nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya halotel viettel plc hii kampuni tunaifanyia kazi ya kusajili line zasimu na ilikuwa tunapata mshahara kupitia camishion tena kwa % ukisajili mteja unapata %60 yamatumizi ya mteja mean mteja kwa mwezi akitumia elf 10 yako elf 6 sasa tumepambana vijana hadi camishion ikafika lak5 wemgine lak7 chakushangaza tumelipwa hela isio lizisha na kazi tumefanya yaani umesajili lain 50+ baafa mshahara upande eti unakatwa la2 au lak3 nzima niko hapa kuomba msaada tutumie njia gani malalamiko yetu yafike sehemu usika kama hujaelewa unaweza uliza