Haloteli wameondoa bando la internet la Usiku Unlimited

Haloteli wameondoa bando la internet la Usiku Unlimited

nagG

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
282
Reaction score
262
Kwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu.

Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao tunaweza kupata huduma ya internet usiku kwa bei poa?
 
kwa wale wapenzi wakudownlaod movies games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolea na kushushwa mpaka GB 5 tu, je wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao tunaweza kupata huduma ya internet usiku kwa bei poa?
Hawa halotel ZANZIBAR speed yao ya internet ni ya kobe
 
Kawaida sana tu,hata hili litazoeleka,na ukisema sana watakujibu watanzania wanapenda vitu vya bure,poor service,kuna haja mitandao ya simu ipewe bei elekezi na masharti makubwa watanyooka,wakikimbia tutarudi nyumba kupanogesha.
 
Kwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu.

Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao tunaweza kupata huduma ya internet usiku kwa bei poa?
Toka lin wametoa mkuuu daa kiukwl ni pigo kwa mimi niliekuwa na download season za kihind zenye episode 620 na Zaid ntatesek Sana
 
Hats airtel naona mb600 Kwa tshs 500 ile unlimited sioni tena
Kipo....
*149*99#
20210122_120928.jpg
20210122_120951.jpg
20210122_121013.jpg
20210122_121033.jpg
 
Alafu mnaolalamima kuwa Airtel ni mtandao mbovu angalieni na maeneo mliyopo.

Mie kwangu si haba....huwa inaenda mpaka 2mb/s nikiwa nadownload. Lakini kuna maeneo nikienda inakuwa inasua sua.
 
Alafu mnaolalamima kuwa Airtel ni mtandao mbovu angalieni na maeneo mliyopo.

Mie kwangu si haba....huwa inaenda mpaka 2mb/s nikiwa nadownload. Lakini kuna maeneo nikienda inakuwa inasua sua.
tatizo LA mitandao yote hilo
 
Toka lin wametoa mkuuu daa kiukwl ni pigo kwa mimi niliekuwa na download season za kihind zenye episode 620 na Zaid ntatesek Sana
yaani mi mwenyewe pigo kubwa maana nilikua nadownload vitu kibao kwa hicho kifurushi kama series,courses zenye uzito mkubwa, labda ilikua wanatuvutia tu tuingie kwenye mtandao wao mpya sasa washazoeleka wanatuletea mambo ya tigo
 
Back
Top Bottom